Huduma zetu (Our Service)

Karibu sana tupo tayari kukuhudumia

Automation

Usiruhusu kuwa busy kukupotezee wateja Jifunze jinsi Automation inavyoweza kukusaidia kujibu, kuhudumia na kufuatilia wateja kwa wakati, hata ukiwa unaendelea na shughuli nyingine.

Sponsored Meta Ads

Jinsi ya kuandaa na kuset Matangazo yanayo uza zaidi mtandaoni, bila kutumia gharama kubwa

Copywriting

Mbinu za Kuandika Ujumbe Unaovuta Umakini, Unajenga Uaminifu na Kuwageuza Wasomaji Kuwa Wateja.

Website Designing

Usiruhusu kuwa busy kukupotezee wateja Jifunze jinsi Automation inavyoweza kukusaidia kujibu, kuhudumia na kufuatilia wateja kwa wakati, hata ukiwa unaendelea na shughuli nyingine.

Graphics Designing, Printing, Branding & Social Media Mnagement

Jinsi ya kuandaa na kuset Matangazo yanayo uza zaidi mtandaoni, bila kutumia gharama kubwa

Network Marketing Business

Mbinu za Kuandika Ujumbe Unaovuta Umakini, Unajenga Uaminifu na Kuwageuza Wasomaji Kuwa Wateja.

Picture of Joctan Motoka

Joctan Motoka

Digital Marketing Expert I Creative Graphics Designer
Author I Trainer I Network Marketer
Online Entrepreneur

Ninasaidia watu na biashara kutumia ujuzi na teknolojia kufikia wateja wengi zaidi, kuongeza mauzo na kuendesha biashara kwa mfumo bora zaidi.

Bofya hapa Kunipigie

Some of My story

Nilichaguliwa kuwa miongoni mwa vijana 100 waliowasilisha mawazo bora na bunifu yenye uwezo wa kuchangia katika kutatua changamoto za kiuchumi nchini Tanzania, kupitia shindano la Vijana Uchumi Challenge 2026, lililoendeshwa na Ofisi ya Rais, Wizara yenye dhamana ya Maendeleo ya Vijana.

Pata vitabu na Miongozo mbalimbali itakayo kusaidia, kubadilisha Biashara yako Mtandaoni

Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kurahisisha Biashara yako ya Network Marketing

Siyo kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi kwa sasa.

Karibu Tuzungumze Kuhusu, Biashara ya Network Marketing

Mfumo wa Kunasa wateja Mtandaoni

Usiangaike kutafuta wateja kila siku.
  • Jenga mfumo utakao kusaidia kuwapata.
  • Jifunze kujenga mfumo, hatua kwa hatua utakaokuletea wateja, utakao hongeza mauzo na kukuza biashara yako 
  • Bila kutegemea juhudi zako kila dakika

Subscribe uzidi kupata Taarifa zetu zaidi kwa kujaza fomu hapa chini

    Zaidi ya mshahara

    Kitabu hiki kinajibu maswali matatu ambayo uwenda na wewe umekuwa ukijiuliza kwa muda mrefu bila kupata majibu, na kutoa mwongozo wa hatua za kuchukua kujenga kipato kingine nje ya mshahara wako.
    1. Kwa nini chanzo kimoja cha kipato huwa hakitoshi?
    2. Je, kweli inawezekana kujenga kipato cha ziada bila
      kuacha kazi yako?
    3. Kwa nini watu wengine ufanikiwa kwenye network
      marketing na wengine ukata tamaa, kabla ya
      kufanikiwa?
    Scroll to Top