Master Digital Skills, Hustle Smarter, Grow Your Business
Master Digital Skills, Hustle Smarter, Grow Your Business
Mfumo wa kukusaidia kuwafikia watu sahihi, kupata wateja na downline katika biashara yako ya Network Marketing mtandaoni.
Wafikie watu sahihi, wenye uwezekano mukubwa wa kununu bidhaa au huduma toka kwako, kwa gharama ndogo ya matangazo ya kulipia mtandaoni
Mwongozo Kamili wa Kujifunza, na Kuongeza Mauzo zaidi kwenye biashara yako, kwa Kutumia Mfumo wa Matangazo ya Kulipia mtandaoni (Sponsored Meta Ads)
Mbinu za Kuandika Ujumbe Unaovuta Umakini, Unajenga Uaminifu na Kuwageuza Wasomaji Kuwa Wateja.
Kozi itakayo kusaidia kuelewa saikolojia ya mteja na jinsi anavyofanya maamuzi. ili kuandika ujumbe ambao utagusa hisia zake na kumuongoza kufanya maamuzi
Jenga website inayokutambulisha, kuaminisha na kuleta wateja.
Rahisisha kazi, fuatilia waliyovutiwa na bidhaa au huduma yako na acha mfumo ufanye kazi kwa niamba yako,
Digital Marketing Expert I Creative Graphics Designer
Author I Trainer I Network Marketer
Online Entrepreneur
Ninasaidia watu na biashara kutumia ujuzi na teknolojia kufikia wateja wengi zaidi, kuongeza mauzo na kuendesha biashara kwa mfumo bora zaidi.
Siyo kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi kwa sasa.
Tunaamini kufanikiwa kwenye Biashara siyo Bahati,Bali ni matumizi sahii ya maharifa na ujuzi ambao biashara yako inahitaji.Kwa kulitambua hilo, tunakukaribisha kujifunza na kutumia ujuzi sahii wa kuendesha biashara yako katika karine ya 21
Kupata jumbe zetu na update mbalimbali, juu ya Tip mbalimbali za kidigital zitakazo saidia kubadilisha Biashara Yako