BUSINESS COMMUNICATION MASTERCLASS (BCM)

1. Mawasiliano yanayovutia wateja,
2. Yanayo wajengea imani na
3. Kuwafanya wanunue huduma au bidhaa toka kwako

Online Course + Kitabu Cha Ulimi Unaovuta

Uza zaidi kwa maneno, siyo kwa kupiga kelele.

Jifunze Copywriting itakayobadilisha jinsi unavyowasiliana na wateja wako kupitia Facebook, Instagram, TikTok, WhatsApp na Video zako.

Kama una biashara mtandaoni lakini watu wanaona bidhaa zako bila kununua tatizo linaweza lisiwe bidhaa yako. Tatizo linaweza kuwa ujumbe wako.
Kwa wanafunzi 20 wa kwanza watapata punguzo la bei la asilimi 25%

Je, haya ndiyo matatizo yanayo kumbana nayo kila siku?

Ukweli mchungu.
Mteja wa karne ya 21 haununui bidhaa kwanza.
      • Mteja ananunua maana (Meaning),
      • Hisia (Emotion),
      • Imani (Trust) na
      • Sababu ya kuchukua hatua (Reason to Act).
Kama ujumbe wako haujagusa hayo manne.
Utaendelea kupost tu, lakini siyo kuuza.

Business Communication Masterclass (CBM) & Kitabu cha Ulimi Unaovuta

Hii siyo kozi ya kujifunza kuandika Kiswahili kizuri.
Ni mfumo wa kujifunza kutumia maneno yanayoshawishi (Persuasive Words) ili
    1. Kuvuta umakini wa mteja.
    2. Kujenga hamu ya kununua.
    3. Kushinda ushindani wa soko.
    4. Kuandika matangazo yanayoleta wateja.
    5. Kuandika video scripts zinazotazamwa hadi mwisho.
    6. Kufunga mauzo kupitia WhatsApp na DM.
Baada ya siku 14 utaanza kuona biashara yako kwa macho mapya.
Hutakuwa unaandika “post.”
Utakuwa unaandika ujumbe wenye kazi moja tu KUUZA.

Utajifunza nini?

Utajifunza Mbinu Ambazo Copywriters Wakubwa Duniani Wametumia Kuuza Mabilioni.

Haya ni mafunzo yaliyotengenezwa kwa lugha rahisi kwa mfanyabiashara wa Tanzania.
01.Formula za Copywriting (AIDA, PAS, BAB, 4U, Before-After-Bridge na nyingine nyingi)
Zitakazokusaidia kuandika ujumbe unaovuta, unaaminisha na unaouza.
Utapata Headline Bank yenye mifano mingi inayoweza kutumika kwenye biashara yoyote.
Kwa nini watu hununua? Kwa nini wengine huahirisha? Na jinsi ya kuandika ujumbe unaochochea maamuzi.
Kuanzia mwanzo hadi mwisho kwa mfumo wa kitaalamu.
Caption zinazobadilisha viewers kuwa wanunuzi.
Hook za sekunde 3 za kwanza, script za reels, TikTok na YouTube Shorts.
Jinsi ya kuandika reply zinazofunga mauzo badala ya kupoteza mteja.
Jinsi ya kutengeneza offer ambayo mteja ataona ni ngumu kuikataa.
Utajifunza kuipa AI maelekezo (Prompts) zinazozalisha copy bora kwa biashara yako.
Kuboresha ujumbe wa kawaida kuwa ujumbe unaovutia bila kuanza upya.
Kuandika hadithi zinazojenga uaminifu na kuuza bidhaa bila kuonekana unalazimisha mauzo.

Hii kozi imeandaliwa kwa ajili ya nani?

Ukijiona hapa, kozi hii ni yako.
    1. Wajasiriamali wanaouzabidhaa au huduma kupitia Facebook.
    2. Wauzaji wa bidhaa au huduma kupitia Instagram na TikTok.
    3. Wafanyabiashara wanaouza bishaa ua huduma kupitia WhatsApp.
    4. Network Marketers wanaouza bidhaa za afya na virutubisho lishe
    5. Content Creators wanaotaka kuuza huduma zao mtandaoni.
    6. Coaches na Trainers wanaotafuta wateja mtandaoni
    7. Freelancers wanaouza huduma zao online.
    8. Mtu yeyote anayehitaji kuuza biashara yake kupitia mwasiliano sahii (maneno) na wateja.

BONUS KUBWA

Ulimi Unaovuta

Kitabu kitakachokufundisha kutumia maneno kama silaha ya biashara.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza:
    1. Kwa nini maneno mengine yanauza na mengine hayauzi.
    2. Mbinu za Eugene Schwartz zilizorahisishwa kwa soko la Tanzania.
    3. Mistari ya mwanzo inayovuta umakini.
    4. Makosa yanayofanya matangazo yashindwe kuuza.
    5. Jinsi ya kuandika offer zisizopuuzwa.
    6. Mifano mingi ya biashara za Tanzania.
Bei ya Kitabu Pekee
Soft Copy (PDF) Tsh 30,000/=
Hard Copy Tsh 40,000/=
Ukijiunga na Kozi Kamili.
Unapata Kitabu hiki BURE kabisa.

Kile utakachopata ukinunua kozi hii

Thamani Halisi Ya Package Hii ni Tsh 870,000.
Lakini wewe hautalipa kiasi hiki chote (Tsh 870,000/=) ili kujifunza ujuzi huu muhimu

Limited Offer

Wanafunzi 20 wa Kwanza Pekee

Badala ya kulipa Tsh 870,000 ili kujifunza kozi hii.
Leo utalipia kiasi cha Tsh 169,000 Tu.
Lakini uwenda hauna kiasi hicho cha pesa kwa sasa
Na unatamani kujifunza, tunakupa nafasi ya kuanza kujifunza kwa kulipia Tsh 19,000 Tu.
Ukiridhika na mafunzo yetu basi utakamilisha malipo yaliyobaki.

100% RISK FREE

Hauna cha kupoteza

Hakuna hatari ya kupoteza chochote ukianza kujifunza leo.
Ndiyo maana tumetengeneza guarantee hii.
Leo utalipia  Tsh 19,000/= ili uanze kujifunza.
Na Kama utaona
      • Kozi haieleweki.
      • Haikusaidii chochote.
      • Haifai kwa biashara yako.
Unatuambia tu, na ndani ya siku 7.
Utarudishiwa fedha yako yote ya mwanzo bila usumbufu.
Tunataka uamue kwa kujiamini, siyo kwa hofu.

Kwa nini ujifunze kozi hii toka kwangu.

Siitaji kuwa maarufu kwanza ili kukufundisha kitu chenye thamani.
Ukweli ni huu.
      • Sina jina kubwa kwenye industry.
      • Sina maelfu ya testimonials na sitaki kuandika testimonials za kubuni.
Hii ndiyo sababu.
Nimeamua kuanza kwa kujenga matokeo, siyo sifa.
Kilichonipa ujasiri kuandaa kozi hii ni safari yangu ya kujifunza kutoka kwa baadhi ya waandishi bora wa copywriting duniani, kusoma vitabu vyao, kutafiti mifumo yao, na kuibadilisha iwe rahisi kwa mfanyabiashara wa Tanzania.
Pia nilichaguliwa kuwa miongoni mwa Vijana 100 wenye Mawazo Bora ya Kubadilisha Uchumi wa Tanzania kupitia shindano lililoendeshwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Maendeleo ya Vijana (VIJANA UCHUMI CHALLENGE 2026)
Wazo hilo lilihusu kuwajengea vijana ujuzi wa kidijitali unaowawezesha kushindana kwenye soko la dunia.
Copywriting ni sehemu ya ujuzi huo.
Na leo nimeamua kuuleta kwa lugha rahisi kwa kila mfanyabiashara wa Tanzania.

Ukimaliza kozi hii utakuwa na uwezo wa…

Badiliko Utakaloliona Kwenye Biashara Yako.
      1. Kuandika matangazo yanayovuta wateja.
      2. Kuandika captions zinazoongeza engagement.
      3. Kuandika scripts za video zinazotazamwa hadi mwisho.
      4. Kutengeneza offers zinazoongeza mauzo.
      5. Kutumia ChatGPT na Claude kama msaidizi wa copywriting.
      6. Kufunga mauzo kupitia WhatsApp kwa lugha ya kitaalamu.
      7. Kuelewa akili ya mteja kabla ya kuandika ujumbe.
      8. Kujenga brand inayoongea kwa lugha ya mteja.
Hutakuwa unaandika kwa kubahatisha tena.
Utakuwa na mfumo unaokuongoza kuandika karibu ujumbe wowote wa biashara.

Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Je, mafunzo ni online ?
Zitakazokusaidia kuandika ujumbe unaovuta, unaaminisha na unaouza.
Ndiyo. Unajifunza kupitia www.joctanmotoka.com popote ulipo.
Ndiyo. Soft Copy Tsh 30,000 na Hard Copy Tsh 40,000.
Hakuna shida. Utapata Lifetime Access na unaweza kujifunza kwa kasi yako.
Updates zote za kozi utazipata bure pindi tunapofanya mabadiliko yoyote kilingana na mahitaji ya wanafunzi wetu.

Usiendelee Kupoteza Wateja Kwa Sababu Ya Ujumbe Usiofaa.

Kila siku unayoahirisha kujifunza copywriting…
      • Kuna mteja mwingine anayesoma ujumbe wa mshindani wako.
      • Kuna mauzo ambayo yangeweza kuwa yako.
      • Kuna biashara ambayo ingeweza kukua kwa sababu ya maneno sahihi.
Leo ndiyo siku ya kubadilisha namna biashara yako inavyoongea na wateja.
Offer ya leo
Tsh 870,000âž¡ Tsh 150,000
Kwa wanafunzi 20 wa kwanza pekee.
Lakini hautalipia kiasi hicho chote kwa sasa, lipia kiasi cha Tsh 19,000/= tu Kuanza kujifunza.
Baada ya kukamilisha malipo,
Utapata Link au Kiunganishi
Itakayo kuongoza kwenye page au ukurasa wenye mafunzo
Ndani ya Tuvuti hii ya  www.joctanmotoka.com.

Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kuendesha Biashara yako ya Network Marketing Bure

Si kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi.

Subscribe uzidi kupata Taarifa zetu zaidi kwa kujaza fomu hapa chini

    Scroll to Top