Unatumia pesa nyingi kulipia matangazo kwenye facebook na instagram, lakini haupati wateja wa bidhaa au huduma unayo itoa?
Huenda tatizo si tangazo lako. Huenda hujui bado jinsi ya kuendesha matangazo yako kwa kiwango cha kukuletea wateja na siyo tu kuonekana kwa wateja.
Je, umewahi
Kuweka pesa kwenye tangazo lakini mauzo yakawa machache ?
Kupata watu wengi wanaoona tangazo, lakini hakuna anayenunua?
Kupata watu wanaouliza bei, halafu wanapotea?
Kuendelea kuongeza pesa kwenye tangazo bila kujua kama linafanya kazi?
Kuweka tangazo leo, na kesho unalizima, kisha unasponsor lingine bila kujua kosa lilikuwa wapi?
Kuangalia likes na views na kudhani tangazo linafanya vizuri?
Kutumia pesa nyingi kwenye matangazo bila kujua ni wapi pesa yako inapotea?
Kama haya yanakutokea, usikimbilie kusema Meta Ads hazifanyi kazi.
Huenda unahitaji kujifunza jinsi ya kuendesha matangazo yako kwa kiwango cha kukuletea wateja na siyo tu kuonekana kwa wateja.
Kusponsor matangazo facebook na instagram ni zaidi ya kubofya kitufe cha boost post
Watu wengi wanajua
Boost Post → Chagua watu → Weka pesa → Subiri.
Lakini hapo ndipo wengi wanaanza kupoteza pesa.
Meta Ads ni zaidi ya kubonyeza Boost.
Unahitaji kujua
Umtangazie nani.
Umwambie nini.
Umwambie kwa njia gani.
Ujue kama tangazo linafanya kazi.
Ujue kinachofanya kazi na kisichofanya kazi.
Ujue namna ya kumrudisha mtu aliyekuona lakini hakununua.
Ujue wakati wa kuongeza pesa na wakati wa kusimamisha tangazo.
Hapo ndipo siri ya Meta Ads inaanza.
Usipoteze pesa tena wala usibahatishe, kupata wateja kupita matangazo ya kulipia ni ujuzi amabao unaweza ukajifunza hatua kwa hatu
Ndiyo maana nimekuandalia
NGOME YA BIASHARA ZA MTANDAONI
Kozi ya Meta Ads inayokufundisha jinsi ya kutengeneza, kuendesha, kupima na kuboresha matangazo yako ili uyatumie kwa uelewa, si kwa kubahatisha.
Na ndani ya package utapata pia
Kitabu cha “NGOME YA BIASHARA ZA MTANDAONI”
Mbinu za Kufanikiwa Katika Matangazo ya Kulipia Mtandaoni
Mwongozo wa kujifunza Meta Ads na kujenga mfumo wa matangazo unaolenga kuongeza mauzo hadi kwenye biashara yako mara tano zaidi (5X).
Usiendelee kubonyeza “boost post” tu. Jifunze ujuzi wa kuendesha meta ads kwa ufanisi ili upate matokeo bora na siyo kupoteza pesa.
Katika kozi hii hutajifunza tu kuweka tangazo.
Utajifunza kwa nini tangazo linafanya kazi, kwa nini halifanyi kazi, na nini cha kufanya baada ya kupata data.
Utajifunza mambo haya
1. Utajifunza kumjua unayemtafuta kabla hujatangaza
Usipeleke tangazo kwa kila mtu.
Utajifunza kumtambua mtu anayehitaji bidhaa au huduma yako.
2. Utajifunza kuandika tangazo linalovuta umakini wa watu
Mtu hawezi kununua kitu ambacho hakijamvutia.
Utajifunza kuandika ujumbe unaomfanya mtu
Aone → Asome → Aelewe → Atamani → Achukue hatua.
3. Utajifunza kuelewa psycholojia cha mteja wako
Mteja wa leo si rahisi kushawishika kwa kuonyesha bidhaa tu.
Anahitaji kujua
“Mimi nitapata faida gani?”
Katika kozi huu utajifunza kuelewa mawazo, shida, hofu na mahitaji ya mteja wako.
4. Utajifunza kufanya matangazo kwa mfumo
Utajifunza namna ya kuandaa na kuzindua kampeni (Matangazo) yako hatua kwa hatua.
Hutategemea kubahatisha tena, kila unapoweka tangazo.
Utakuwa na Campaign Setup Checklist ya kukusaidia kukagua mambo muhimu kabla ya kusponsor tangazo lako.
5. Usimwache mteja aliyekuona tangazo lako na kuvutiwa
Mtu anaweza kuona tangazo la bidhaa au huduma yako leo akavutiwa, lakini asinunue.
Haimaanishi amepotea.
Utajifunza Retargeting, yaani namna ya kuwafikia tena watu ambao tayari walionyesha interest au kuvutiwa na bidhaa au huduma unayo uza.
Hii inaweza kukusaidia kutumia vizuri watu ambao tayari walishawahi kukutana na biashara yako.
6. Utajifunza kutumia meta pixel
Watu wengi huanza kutangaza bila kuweka mfumo mzuri wa kufuatilia watu wanaofanya vitendo mbalimbali kwenye biashara yao.
Mfano kusoma landing pages zao, or sales latter zao, Waliyo jaza fomu maalumu za mawasiliano, waliyo fikia kwenye mchakato wa kulipia bidhaa au huduma baadae wakahairisha
Utajifunza umuhimu wa Meta Pixel na tracking.
Hii inaweza kukusaidia kujenga msingi wa
Kujua → Kufuatilia → Kuwarudia → Kuwageuza kuwa wateja.
7. Utajifunza jinsi ya kufanya maamuzi ya kusimamisha tangazo, au kuliacha liendele, au kuongeza bajeti kwa kutumia data na siyo hisia
Usiseme
Nadhani tangazo hili ni zuri.
Uliza
Data zinaniambia nini kuhusu ili tangazo?
Utajifunza kusoma metrics muhimu za Meta Ads na kuzitumia kufanya maamuzi.
Kwa sababu
Data nzuri → Uamuzi mzuri → Matangazo bora zaidi.
8. Utajifunza meta-ads testing
Kabla hujaongeza budget, kwenye tangazo utakuwa na uwezo wa
kulipima kwanza
kulijaribu
Kulilinganisha na matangazo mengine
Kuliboresha
Kisha ndipo uamue kuongeza pesa au kuto kuongeza pesa.
Usiwekeze fedha nyingi kwenye tangazo lisilo kupa matokeo Chanya, jifunze kutambua tangazo lenye matokeo Chanya katika hatua za awali kabisa kwa kutumia bajeti ndogo.
9. Utajifunza kanununi za kuongeza budget
Tangazo likianza kufanya vizuri, usiongeze pesa kwa kubahatisha.
Utajifunza kanuni za scaling, ili ujue namna ya kuongeza budget kwenye tangazo lenye dalili nzuri za kufanya kazi.
Lengo si kutumia pesa nyingi.
Lengo ni kutumia pesa kwa uelewa zaidi.
Fikiria tofauti hii
Mfanyabiashara wa kwanza
Anaweka tangazo.
Anaweka pesa.
Anasubiri.
Halafu anasema “Facebook haifanyi kazi.”
Mfanyabiashara wa pili
Anaelewa mteja wake.
Anaandika tangazo vizuri linalo lenga wateja wake bora.
Anaweka tracking.
Ana-test tangazo lake katika hatu za mwazo.
Anaangalia data.
Anaboresha tangazo kulingana na data.
Anawafikia tena waliovutiwa.
Anaongeza budget kwenye kile kinachofanya vizuri.
Swali ni : Kati ya hao wawili unataka kuwa yupi?
Ukijiunga, hupati kozi peke yake
Unapata mfumo mzima wa kukusaidia kujifunza na kutumia unachojifunza.
🎓 Kozi ya meta-ads
Jifunze online kupitia website yangu muda wowote unaotaka.
📘 Kitabu cha ngome ya biashara za mtandaoni
Kitabu kinachokuongezea maarifa kuhusu biashara na matangazo ya kulipia mtandaoni.
📝 Meta ads templates
Usianze kila kitu kutoka sifuri, Tumia template kuandaa Meta Ads.
✍️ ADS Copy templates
Pata templates za kukusaidia kuandaa ujumbe wa matangazo.
✅ Campaign Setup Checklist
Kagua hatua muhimu kabla hujaanza kusponsor matangazo yako.
🤝 Mentorship
Ukijiunga na kozi hii utapata nafasi ya kuuliza maswali na kupata msaada wakati unaendelea kujifunza.
👥 Whatsapp Group
Utaunganishwa kwenye group la whatsapp ambako utapata nafasi ya kujifunza kwa njia ya kuuliza maswali na kushare umaharifa Pamoja na wanafunzi wengine.
Thamani halisi ya kozi hii ni Tsh 890,000/=
Lakini wewe hautalipia kiasi hiki chote cha pesa Tsh 890,000/=, utapata punguzo la bei kwa zaidi nya asiliami 80%
Ushidwe tu wewe ambapo utalipia Tsh 169,000/=
Lakini pia uwenda kiasi hiki huna kwa sasa
Tunakupa furusa ya kulipia kiasi cha Tsh 19,000 tu Kuanza kujifunza leo na wakati ukiendelea na mafunzo utaweza kulipia kiasi kingine kilicho baki.
Jifunze wakati wowote kulingana na ratiba yako
Kozi iko online kupitia
www.joctanmotoka.com
Baada ya kujiunga utapewa link na password maalumu ya kuingia kwenye eneo lako la kujifunzia.
Huhitaji kusubiri darasa.
Huhitaji kukimbizana na muda.
Jifunze wakati unaokufaa.
Kozi hii ni kwa ajili yako kama...
Una biashara na unatafuta wateja online.
Unatumia Facebook, Instagram au WhatsApp kuuza.
Umewahi kusponsor lakini hujapata matokeo uliyotarajia.
Unauza:
👗 Nguo
💄 Vipodozi
📱 Simu na electronics
👟 Viatu
🍔 Chakula
🏠 Nyumba na viwanja
🚗 Magari
💻 Huduma za kidigitali
💼 Huduma za kitaalamu
🌿 Virutubisho
📚 Kozi na elimu
✈️ Usafiri na utalii
💇 Saluni na beauty services
🏋️ Fitness services
🛍️ Bidhaa za online
na biashara nyingine zinazohitaji wateja kutoka mtandaoni.
Kama unahitaji wateja, unahitaji kujua jinsi ya kuwafikia.
Hata kana haujawahi kujifunza meta-ads hakuna tatizo?
Kozi hii imeandaliwa kwa lugha rahisi na hatua kwa hatua.
Huhitaji kuwa mtaalamu wa matangazo ili kuanza.
Unahitaji tu kuwa tayari
Kujifunza → Kufanya → Kupima → Kuboresha.
Nikijiunga halafu nisiridhike na kozi yenu?
Hili ni swali la kawaida.
Ndiyo maana nimeweka mfumo wa kuanza kwa TSh 19,000/= badala ya kulazimika kulipa TSh 169,000/= yote mara moja.
Anza na TSh 19,000/=
Jifunze.
Angalia mafunzo.
Tumia unachojifunza.
Pima kama kozi inakupa thamani unayoitafuta.
Ukiridhika, endelea na malipo yaliyosalia.
Na kama ndani ya siku 7 utaona kozi haikupi thamani uliyoitarajia, unaweza kuomba kurejeshewa TSh 19,000/= yako ya mwanzo, kulingana na masharti ya guarantee.
Hii inamaanisha
Huhitaji kuweka TSh 169,000/= yote mezani kabla hujaanza kuona unachopata.
Usubiri hadi upoteze pesa nyingi zaidi ndipo uanze kujifunza
Kama tayari unatumia pesa kwenye Meta Ads,
Swali si Nitatumia pesa kiasi gani?
Swali ni Ninajua ninachofanya na pesa hii?
Kila tangazo linapaswa kukupa taarifa.
Kila data inapaswa kukusaidia kufanya uamuzi.
Kila uamuzi unapaswa kukusaidia kuboresha.
Hapo ndipo matangazo yanaanza kuwa mfumo wa biashara, na siyo bahati.
Jenga ngome ya biashara yako mtandaoni
Biashara yenye nguvu haitegemei bahati.
Inahitaji:
Ujuzi
Mfumo
Data
Ujaribu
Maamuzi sahihi
Na uwezo wa kuboresha
Anza kujifunza leo.
META ADS COURSE + NGOME YA BIASHARA ZA ONLINE
KOZI + KITABU + TEMPLATES + CHECKLIST + MENTORSHIP + WHATSAPP GROUP
Thamani ya Kozi: TSh 169,000/=
Anza leo kwa TSh 19,000/=
Unataka kitabu peke yake?
NGOME YA BIASHARA ZA MTANDAONI
Mbinu za Kufanikiwa Katika Matangazo ya Kulipia Mtandaoni
Hard Copy: TSh 40,000/=
Soft Copy: TSh 30,000/=
Chagua Sasa
- Soft Copy
- Hard Copy
Usipoteze pesa kwa kusponsor matangazo bila ujuzi.
Jifunze
Tumia
Pima
Boresha
Na jenga biashara inayopata wateja online.
Anza na TSh 19,000/= LEO.
Maswali ninayo ulizwa mara kwa mara
Usiache hofu ikuzuie kujifunza ujuzi unaoweza kubadilisha namna unavyofanya biashara yako online.
Huenda una maswali kama haya
Hapa chini nimekujibu kwa lugha rahisi kabisa.
Mimi sijasoma masuala ya kompyuta. Nitaweza kweli?
Jifunze online kupitia website yangu muda wowote unaotaka.
Nina simu tu. Nitaweza kujifunza?
Kitabu kinachokuongezea maarifa kuhusu biashara na matangazo ya kulipia mtandaoni.
Nitahitaji vifaa gani?
Usianze kila kitu kutoka sifuri, Tumia template kuandaa Meta Ads.
Je, kozi hii ni kwa watu wanaojua kiingereza sana?
Pata templates za kukusaidia kuandaa ujumbe wa matangazo.
Je, nikisoma kozi halafu nikashindwa kuelewa?
Kagua hatua muhimu kabla hujaanza kusponsor matangazo yako.
Je, nikisoma kozi lakini sina biashara kubwa?
Ukijiunga na kozi hii utapata nafasi ya kuuliza maswali na kupata msaada wakati unaendelea kujifunza.
Mimi nimekuwa nikisposor matangazo, lakini sijawahi kufanya haya mambo ya pixel na retargeting. Nitaweza?
Utaunganishwa kwenye group la whatsapp ambako utapata nafasi ya kujifunza kwa njia ya kuuliza maswali na kushare umaharifa Pamoja na wanafunzi wengine.
Nitaweza kufanya matangazo mwenyewe au nitahitaji mtu wa kunifanyia?
Je, nitajifunza kwa muda gani ?
Je, nikimaliza kozi nitapata wateja moja kwa moja?
Nikijifunza halafu nikafanya kosa?
Ninaogopa kupoteza pesa kwenye matangazo.
Je, nikiwa na maswali baada ya somo ?
Je, kozi hii ni ngumu ?
Mimi nina umri mkubwa. Huenda nisiweze kujifunza ujuzi wa kidigitali.
Nitaanzia wapi kama sijui chochote?
Je, nitaweza kweli?
Kama una biashara mtandaoni, huu ni wakati wa kuongeza ujuzi wako.
Usiwe mtu anayesema “Niliwahi kusponsor lakini sikupata matokeo.”
Kuwa mtu anayesema
Najua ninachotangaza,
Najua ninamtafuta nani,
Najua ninachopima, na
Najua hatua yangu inayofuata.
Huo ndio uwezo tunataka ujenge kupitia NGOME YA BIASHARA ZA ONLINE.
Biashara ya karne hii haihitaji juhudi peke yake
Inahitaji
Kasi
Mpangilio
Mawasiliano
Teknolojia
Automation
Na muhimu zaidi
Mfumo unaoweza kukusaidia kufanya zaidi bila kulazimika kufanya kila kitu mwenyewe.
Usiache hofu ikufanye ubaki pale pale.
Simu uliyonayo inaweza kuwa mwanzo.
Internet uliyonayo inaweza kuwa darasa lako.
Utayari wako wa kujifunza unaweza kuwa hatua yako ya kwanza.
Lipia Tsh 19,000/= kuanza sasa
Na anza kujenga uwezo wa kuendesha meta-ads kwa ujuzi, si kwa kubahatisha.
Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kuendesha Biashara yako ya Network Marketing Bure
Si kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi.
