• Digital Marketing Expert,
  • Creative Graphics Designer
  • Author,
  • Trainer,
  • Network Marketer
  • Online Enterpreneur

Ninacho weza kukusaidia

  • Kuongeza MAUZO katika biashara yako.
  • Kukufundisha ujuzi wa kidigital utakao kusaidia kuongeza mauzo kwenye  biashara yako mara saba zaidi (7x)
  • Kupata DOWNLINE wengi na kuongeza MAUZO  kwenye Biashara yako ya Network Marketing
  • Kutengeneza mifumo inayo saidia biashara yako kuwasiliana na wateja kwa njia rahisi zaidi
  • Kukupa MENTORSHIP, ili kufanikisha malengo uliyo yakusudia kwenye Biashara yako 
  • Furusa ya kujiunga na Timu yetu ya Network Marketing, amabapo utafundishwa Biashara hatua kwa hatua.
  • Huduma za Graphics Designing, Printing, Branding & Marketing 

Ongeza mauzo kwenye biashara yako Mara 7X Zaidi

Kuanzisha na kukuza biashara yako katika karine hii ya tenchnologia siyo bahati tena, bali ni mikakati mizuri inayopagwa na kutekelezwa na mfanya biashara. Tumia ujuzi wa kidigitali kukuza biashara yako

Unacho Hitaji Ili Kukuza Biashara Yako Leo?

Kufanya kazi kwa bidii pekee hakutoshi kuifanya biashara yako ikue.
Unaweza kutumia muda mwingi kutafuta wateja, kujibu maswali na kuwafuatilia, lakini bado ukaona biashara haisongi.
Tatizo mara nyingi si bidii yako, bali ni kukosa mfumo unaofanya kazi vizuri.
Unahitaji njia zinazokusaidia kupata wateja, kuwahudumia na kuendelea kuwasiliana nao bila wewe kufanya kila kitu.
Haya ndiyo mambo unayoweza kupata ili biashara yako iwe rahisi kuendesha na iweze kukua

Start Hustling Smart

With Joctan Motoka

  • Hustle Smart ni kufanya kazi kwa akili, si kwa nguvu pekee.
  • Ni kutumia teknolojia, mitandao ya kijamii, AI na mbinu sahihi za biashara ili kuwafikia watu sahihi, kupata wateja zaidi na kukuza kipato bila kupoteza muda kwenye mambo yasiyo na matokeo.
  • Usifanye kazi zaidi bila mpango. Fanya kazi kwa akili, kwa mfumo na kwa matokeo.
  • Anza kujifunza jinsi ya Hustle Smart leo.

Biashara yako Inahitaji Mfumo

Jifunze kuendesha Biashara yako kwa kutumia mifumo ya kidigitali nayo muongoza mteja hatua kwa hatua, toka siku ya kwanza anakufahamu hadi anapo nunua bidhaa au huduma kutoka kwako.

Maneno ni siraha muhimu sana katika Biashara yako mtandaoni

Jifunze Kuandika Maneno Yanayowafanya Wateja Wasome, Waamini na Wanunue Toka kwako Bila kuwalazimisha

Jifunze siri za copywriting zitakazokusaidia kuwasilisha bidhaa au huduma yako kwa njia inayogusa mahitaji ya mteja na kuwashawishi kuchukua hatua.

Kwa wafanyakazi wa Serkali & Makampuni

Jenga Biashara Yako Bila Kuathiri Kazi Yako, Unayoifanya kwa Sasa

Jifunze jinsi ya kujenga biashara yenye kipato cha ziada, ukiendelea na kazi yako na bila kutumia muda wako wote.

Kwa wafanya Biashara Wote Wa Mtandaoni

Jifunze Njia Rahisi ya Kupata Wateja Zaidi Bila Kupoteza Pesa Nyingi Kwenye Matangazo ya Kulipia (Meta Ads)

Usipoteze pesa nyingi kwenye matangazo ya kulipia, jifunze jinsi ya kuwafikia watu sahii, kwa kutumia bajeti ndogo na kuongeza nafasi ya kupata wateja zaidi mtandaoni

Kwa wafanya Biashara na wajasiliamali wanaokuwa busy muda wote, ila matokeo ya ubusy wao ni kidogo sana, ukilinganisha na ubusy wenyewe

Jinsi ya Kujenga Mfumo wa Biashara Unaokuletea na Kuwahudumia Wateja Hata Ukiwa Haupo

Jifunze jinsi ya kujenga mfumo unaopokea, kujibu na kufuatilia wateja kwa ajili yako, ili biashara yako iendelee kufanya kazi hata ukiwa busy na mambo mengine.

Huyu Ndiye Mfanyakazi Unayepaswa Kumuajiri Kwenye Biashara Yako

Mfanyakazi Asiyeomba Likizo, Asiyelala, Asiyefunga Ofisi, na Anayewahudumia Wateja Wako Masaa 24, Siku Saba za Wiki Bila Kuchoka. Huyu Ndiye Mfanyakazi Atakayeongeza Mauzo ya Biashara Yako.

Huyu mfanyakazi ni website yako. Inasaidia biashara yako kuonekana, kujenga uaminifu na kuwapa wateja nafasi ya kujua, kuagiza au kuomba huduma zako wakati wowote.
Jifunze kutengeneza website yako mwenyewe, hata kama hujui technology. Nitakuongoza hatua kwa hatua mpaka uweze.

Kwa wahitimu wote.

Umehitimu Lakini Hujapata Kazi? Anza Biashara na Jenga Kipato Chako Nasi

Usisubiri ajira, Karibu ujifunze jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara ya Network Marketing kwa kutumia ujuzi wa kidigitali utakaorahisisha kazi zako, kukusaidia kupata wateja na kukuwezesha kufikia malengo yako kwa haraka zaidi.
Jifunze, anza na jenga kipato chako nasi.

Mshahara Pekee Hautoshi

Jenga Kipato Nje ya Mshahara Wako, Bila Kuathiri Kazi Yako ya Sasa

Mshahara wako unaisha kabla mwezi haujaisha? Mahitaji bado yapo, bili zinaendelea, mipango yako inasubiri, na mwisho wa mwezi unajikuta ukikopa ili tu ufike kwenye mshahara unaofuata?
Kama hali hii inakukuta mara kwa mara, huenda tatizo si kwamba hufanyi kazi kwa bidii, bali una chanzo kimoja tu cha kipato.
Sasa unaweza kuendelea na kazi yako huku ukianza kujenga chanzo kingine cha kipato kupitia Network Marketing. Karibu ujifunze hatua kwa hatua jinsi ya kuanza, kupata wateja, kujenga timu na kukuza biashara yako kwa muda ulio nao.
Usisubiri mshahara mwingine ili uanze kutatua tatizo lilelile. Anza kujenga chanzo kingine cha kipato leo

Downlod na kusona miongozo yetu itakayo kusaidia, kuendesha na kukuza biashara yako, kwa kutimia mbinu sahii za kidigitali

Hapa utapa vitabu vyetu na  miongozi ambalimbali, itakayo kusaidia kubadilisha Biashara yako, kupitia ujuzi na maharifa sahii ya kidigitali.

Soma Makala zetu

Great things in business are never done by one person. They’re done by a team of people. We have that dynamic group of peoples

Jinsi ya Kupata Wateja na Downline kwenye Network Marketing Tanzania

Jinsi ya Kupata Wateja na Downline kwenye Network Marketing Tanzania Mfumo wa kukusaidia kuwafikia watu sahihi, kupata wateja na kujenga downline kupitia biashara yako ya Network Marketing mtandaoni. Chart with US Call us Downlood eBOOK bure Mfumo wa Kuapa Downline na wa bidhaa kwenye Biashara yako ya Network Marketing How

Read More »

Kitabu cha Ulimi Unovuta

ULIMI UNAOVUTA Mbinu za kuandika ujumbe unaovuta umakini, unaojenga uaminifu na kuwageuza wasomaji kuwa wateja. Chart with US Call us Kuna kitu kimoja kinachoweza kuwa kinakuzuia kupata wateja wengi mtandaoni Si lazima iwe bidhaa yako. Si lazima iwe bei yako. Si lazima iwe kwamba watu hawahitaji unachouza. Huenda tatizo ni

Read More »

Kutoka Kwenye Wazo la Kawaida Hadi Headline Inayouza

Kuhusu Mimi (About Me) Hapa kuna makala mbali mbali zilizo jikita katika nyanja mbali mbalimbali za kidigitali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa copy writting, Network marketing, Digital marketing, Automation, Matumizi ya Ai katika biashara yako, ujuzi utakao kusaidia, kukuza biashara yako na kushuhudia matokeo makubwa (Mara tano zaid 5x)

Read More »

Kuelewa Saikolojia ya Meja

Kuhusu sisi (About US)  And the option of opacity slider as removed as removed, and this is the reason why you don’t find it in the elementor editor V4Each of gradient color as its own alpha transparency Chart Call us Table of Contents   Nilicho kiandika hapo chini nimekielezea kwa

Read More »

Maswali ambayo wateja wetu wanauliza mara kwa Mara

HappyAddons is a unique collection of Addons to power up the Elementor Page Builder plugin. It works with the WordPress and Elementor Page Builder to customize your WordPress blog or Business sites.

After the subscription license expires, HappyAddons Pro will stop working. Without the license key, you couldn’t use the pro features and widgets of HappyAddons. So you need to renew your license before it expires. That’s the way to prevent the site breaking issue.

And don’t worry, we will send you a reminder through email and admin notice banner of your WordPress dashboard.

After the subscription license expires, HappyAddons Pro will stop working. Without the license key, you couldn’t use the pro features and widgets of HappyAddons. So you need to renew your license before it expires. That’s the way to prevent the site breaking issue.

And don’t worry, we will send you a reminder through email and admin notice banner of your WordPress dashboard.

You will just need to have the latest version of Elementor installed on your website to be able to use the HappyAddons.

You will just need to have the latest version of Elementor installed on your website to be able to use the HappyAddons.

After the subscription license expires, HappyAddons Pro will stop working. Without the license key, you couldn’t use the pro features and widgets of HappyAddons. So you need to renew your license before it expires. That’s the way to prevent the site breaking issue.

And don’t worry, we will send you a reminder through email and admin notice banner of your WordPress dashboard.

HappyAddons is a unique collection of Addons to power up the Elementor Page Builder plugin. It works with the WordPress and Elementor Page Builder to customize your WordPress blog or Business sites.

Jiunge na Social Media Groups Zetu

Kupata  Mafunzo, Miongozo na Taarifa Mbalimbali.  Zitakazo Kusaidia kubadilisha Biashara Yako, na Uchumi wako Kutoka hali ya kutumia nguvu na bidii na rasilimali fedha nyingi hadi kuhustle smart

Jiunge na Timu Yetu ya Network Marketing

Utanufaika na nini Ukijiunga na TIMU yetu

  1. Utafundishwa Jinsi ya kupata downline kwa kutumia njia za kidigital
  2. Utafundishwa jinsi ya kutengeneza na kutumia mfumo ya kidigital kuendesha biashara yako ya Network Marketing
  3. Mifumo itakayo kupa uhuru wa muda hata kama wewe ni mfanyakazi wa serkali au unafanya biashara nyingine nje ya network Marketing, bado utaweza kumudu biashara na kufanikiwa
  4. Utapatiwa miongozo ya video na vitabu vilivyo andaliwa kwa namuna rahisi ya kujifunza, Hivyo unaweza kujifunza wakati wowote au maali popote kwa ratiba yako mwenyewe
  5. Utapatiwa mentorship kwa ukaribu zaidi hadi ili kukuwezesha kujenga uwezo wa kujitegemea

Tupo tayari kufanya kazi na wewe, Kusaidia biashara yako, kufikia malengo unayo yatamani kupitia ujuzi na mbinu za kidigitali

Usipitwe na fursa ya kuibadilisha biashara yako! 
Jifunze mbinu sahihi za kuwafikia wateja sahihi, kuongeza mauzo na kukuza biashara yako kupitia ujuzi wa kisasa wa kidijitali.
Na kama huna muda au hupendi kujifunza, tunaweza kufanya kwa niaba yako kwa kutumia mbinu hizi ili kukusaidia kufikia matokeo bora zaidi.

Wasiliana Nasi SASA

    Tembelea Ofisi Zetu

    Scroll to Top