Si lazima iwe bidhaa yako.
Si lazima iwe bei yako.
Si lazima iwe kwamba watu hawahitaji unachouza.
Huenda tatizo ni jinsi unavyowaambia kuhusu kile unachouza.
Hebu jiulize.
Unaweka post, lakini watu wanaangalia na kupita?
Unaweka video, lakini watu hawaendelei kuitazama?
Unaandika caption nzuri, lakini hakuna anayekuuliza kuhusu bidhaa?
Unatumia pesa kwenye matangazo, lakini response ni ndogo ?
Unapata watu wanaosema, Nitakujulisha, Ngoja nifanye utafiti kwanza au Nitarudi. Halafu hawarudi ?
Una followers, lakini followers hao hawageuki kuwa wateja?
Unaendelea kumfuatilia mteja WhatsApp mpaka unaanza kuhisi kama unamsumbua?
Kama haya yanakutokea, huenda huhitaji kuuza zaidi.
Unahitaji kujifunza kuwasiliana vizuri zaidi.
Anapofungua Facebook, Instagram, TikTok au WhatsAp
Kuna mamia ya ujumbe unaogombania umakini (attention) wake.
Hivyo ndani ya sekunde chache anaamua:
Hii inanihusu au Hii hainihusu
Ndiyo maana unaweza kuwa na bidhaa bora kuliko mshindani wako.
Lakini mshindani wako akawa anauza zaidi.
Kwa nini?
Kwa sababu anaweza kuwa anajua kutumia maneno vizuri zaidi yako.
Kila unapoweka:
Chapisho (Post)
Video
Maelezo ya chapisho (Caption)
Ujumbe wa WhatsApp
Tangazo (Advertisement)
Ofa (Offer)
Ukurasa wa mauzo (Sales Page)
Kila kimoja ni njia ya kuwasiliana na mteja wako.
Unakuwa unawasiliana na mteja.
Na kila mawasiliano yana nafasi mbili:
Kumvuta Mteja au Kumpoteza Mteja.
Hapo ndipo Copywriting inakuwa muhimu.
Ni kujua maneno gani ya kutumia, kwa nani, kwa wakati gani na kwa sababu gani.
Ni kujua namna ya kumfanya mtu:
Aangalie
Asome
Aelewe
Aamini
Atamani
Na hatimaye…
Achukue hatua uliyo kusudia achukuwe.
Hiyo ndiyo nguvu ya copywriting.
Kinyonga hakimbilii mawindo yake.
Hutazama.
Husubiri.
Hujua wakati sahihi wa kuchukua hatua.
Halafu hutumia silaha yake muhimu zaidi Ulimi.
Haitaji kukimbia nyuma ya mawindo yake.
Huyavuta karibu.
Na ndivyo unavyopaswa kufikiria kwenye biashara yako.
Badala ya kufukuzia kila mteja…
Jifunze kuandika ujumbe unaomvuta mteja mwenyewe.
Jifunze kuandika ujumbe unaomfanya mteja aseme “Hii ndiyo nilikuwa natafuta.”
Ulimi Unaovuta ni kitabu cha kukusaidia kuelewa nguvu ya maneno katika biashara na kujifunza namna ya kutumia copywriting kwenye mawasiliano yako ya kila siku na wateja.
Ndani ya kurasa 353, utaingia kwenye safari kutoka kwenye misingi ya copywriting hadi mbinu za juu za kuandika ujumbe unaolenga
Kupata umakini (attention),
Kujenga uaminifu (trust) na
Kuchochea kuchukua hatua (action).
Utajifunza kuhusu:
Hutapata elimu pekee.
Ndani ya kitabu hiki kuna:
100 Copywriting Templates
100 Headline Templates
50 Facebook Ad Template
50 WhatsApp Follow-up Templates
50 CTA Templates
Daily Copywriting Practice Plan ya kukusaidia kuendelea kufanya mazoezi.
Soft Copy (PDF) Tsh 30,000/=
Hard Copy Tsh 40,000/=
Lakini kwa sasa nimefungua nafasi maalum kwa Wateja 30 wa kwanza
SOFT COPY TSh 20,000/=
HARD COPY TSh 35,000/=
Usafirishaji wa hard copy kwa watu wa mikoani ni TSh 10,000/=
Lipia soft copy sasa na baada ya kulipia utapata link au kiunganishi cha kudownload kitabu hicho
Na kwa wale wanaotaka hard copy jaza fomu kwa kubofya kitufe hapa chini ili kuweka order yako ya kitabu nasi tutashughulikia order yako.
Huenda bado hujawa tayari kulipa TSh 20,000 leo.
Na ni sawa.
Sitaki uondoke bila kupata kitu cha kuanzia.
Kwa hiyo nimekuandalia eBook ya bure.
Pakua eBook yako ya bure
NGUVU YA MANENO KATIKA BIASHARA YA MTANDAONI
Jinsi maneno yanavyoweza kubadilisha biashara yako mtandaoni
Hii ni nafasi yako ya kuanza kuelewa kwa nini maneno unayotumia kwenye biashara yako yanaweza kuathiri umakini, uaminifu na maamuzi ya mteja.
Kitabu kinaweza kukupa maarifa.
Lakini kama unataka kujifunza, kufanya mazoezi na kujenga uwezo wako wa kuwasiliana kibiashara kwa kina zaidi, nimekuandalia hatua nyingine.
BUSINESS COMMUNICATION MASTER CLASS (BCM)
Mafunzo ya Copywriting & Business Communication
Hapa tunakwenda zaidi ya kusoma.
Utajifunza jinsi ya kutumia ujuzi wa copywriting katika mawasiliano halisi ya biashara.
Ulimi unaovuta
Mbinu za kuandika ujumbe unaovuta umakini, unaojenga uaminifu na kuwageuza wasomaji kuwa wateja.
Na safari yako ya kuwa bora katika mawasiliano ya biashara inaanzia hapa.
Soft Copy: TSh 20,000/=
Hard Copy: TSh 35,000/= + TSh 10,000/= Gharama ya usafirishaji kwa waliyo nje ya Dar es salaam
Kwa wateja 30 wa kwanza.