Unatumia pesa nyingi kulipia matangazo Facebook na Instagram, lakini haupati wateja wa bidhaa au huduma unayoitoa?

Huenda tatizo siyo matangazo yako. Huenda hujui bado jinsi ya kuendesha matangazo kwa kiwango cha kukuletea wateja na siyo tu kuonekana kwa wateja.

Je, umewahi

  1. Kutumia pesa nyingi kulipia tangazo mtandaoni,  lakini mauzo yakawa machache kuliko ulivyo tarajia ?
  2. Kupata watu wengi wanaoona Mtangazo yako baada ya kusponsor, lakini hakuna anayenunua?
  3. Kupata watu wanaouliza bei tu, halafu hawanunui chochote?
  4. Kuongeza bajeti ya matangazo ya kulipia bila kuwa na takwimu au data zinazoonyesha kama matangazo yanakupa faida au yanakuongezea hasara?
  5. Kuweka tangazo leo, na kesho ukalizima, kisha ukasponsor lingine bila kujua, kosa la tangazo ya kwanza kutofanya vizuri lilikuwa wapi?
  6. Kuangalia likes na views na kudhani tangazo linafanya vizuri?
  7. Kutumia pesa nyingi kwenye matangazo bila kujua ni wapi unakosea?
Kama haya yanakutokea, usikimbilie kusema Meta Ads hazifanyi kazi.
Unahitaji kujifunza jinsi ya kuendesha matangazo yako kwa kiwango cha kukuletea wateja na siyo tu kuonekana kwa wateja.

Kusponsor matangazo Facebook na Instagram ni zaidi ya kubofya kitufe cha Boost Post

Watu wengi wanachojua kwenye matangazo ya kulipia mtandaoni ni 
  • Ni kubofya kitufe cha Boost Post
  • Alafu kuchagua watu (audiance) wanayotaka kuifikia.
  • Kuweka taarifa za kadi ya malipo
  • Mwisho wanakaa kusubiri matokeo.
Lakini hapo ndipo wengi wanaanza kupoteza pesa.
Meta Ads ni zaidi ya kubofya kitufe cha Boost Post.
 
Unahitaji kujua
  • Umtangazia nani.
  • Umwambie nini.
  • Umwambie kwa njia gani.
  • Ujue kinachofanya kazi na kisichofanya kazi katika tangazo lako.
  • Ujue namna ya kumrudisha mtu aliyeona na kuvutiwa na tangazo lako lakini hakununua.
  • Ujue wakati wa kuongeza pesa na wakati wa kusimamisha tangazo.
  • Ujue jinsi ya kujaribu aina tofauti tofauti ya matangazo, ili kujua lipi linafanya vizuri kabla ya kuwekeza fedha nyingi zaidi 
Hapo ndipo siri ya Meta Ads inaanza.

Usipoteze pesa tena wala usibahatishe, kupata wateja kupita matangazo ya kulipia ni ujuzi amabao unaweza ukajifunza hatua kwa hatu

Ndiyo maana nimekuandalia
NGOME YA BIASHARA ZA MTANDAONI
 
Kozi ya Meta Ads inayokufundisha jinsi ya
  • Kutengeneza,
  • Kuendesha,
  • Kupima na
  • Kuboresha matangazo yako
Ili yakupe matokeo bora na siyo kukuingizia hasara 

 

Ndani ya package ya kozi hii  utapata pia
Kitabu cha
“NGOME YA BIASHARA ZA MTANDAONI”
Mbinu za Kufanikiwa Katika Matangazo ya Kulipia Mtandaoni
 
Kitabu hiki ni Mwongozo wa hatua kwa hatua wa
Kujifunza Meta Ads na kujenga mfumo wa matangazo
Unaolenga kuongeza mauzo zaidi kwenye biashara yako bila kuongeza bajeti ya kulipia matangazo mtandaoni.

Usiendelee kubonyeza “Boost post” tu. Jifunze ujuzi wa kuendesha Meta Ads kwa ufanisi ili upate Matokeo bora na siyo kupoteza pesa.

Katika kozi utajifunza kwa nini tangazo linafanya kazi, kwa nini
Kwa nini baadhi ya matangazo hayafanyi kazi (hayakupi matokeo unayotarajia), na
Kwa nini baadhi ya matangazo yanakupa matokeo unayotarajia.
Utajifunza nini cha kufanya baada ya kupata data au takwimu za tangazo lako.
 
Sambamba na hayo
1. Utajifunza kumjua unayemtafuta kabla hujatangaza
Usipeleke tangazo lako kwa kila mtu.
Utajifunza kumtambua mtu anayehitaji bidhaa au huduma yako.
Maana siyo kila aliyeko mtandaoni ni mteja wako
Mtu hawezi kununua kitu ambacho hajavutiwa nacho.
Utajifunza kuandika ujumbe unaomfanya mtu
Aone → Asome → Aelewe → Atamani → Achukue hatua.
Mteja wa leo si rahisi kushawishika kwa kumuonyesha bidhaa tu.
 
Anahitaji kujua
“Mimi nitapata faida gani?”
 
Katika kozi huu utajifunza kuelewa mawazo, shida, hofu na mahitaji ya mteja wako. 
Taarifa utakazotumia kuandika ujumbe uovuta umakini wake, unaojenga uaminifu, na ujumbe wenye uwezo wa kumgeuza msomaji kuwa mteja wa bidhaa au huduma yako
Utajifunza namna ya kuandaa na kuzindua kampeni (Matangazo) yako hatua kwa hatua.
Hutategemea kubahatisha tena, kila unapoweka tangazo.
Utakuwa na Campaign Setup Checklist ya kukusaidia kukagua mambo muhimu kabla ya kusponsor tangazo lako.
Mtu anaweza kuona tangazo la bidhaa au huduma yako leo akavutiwa, lakini asinunue.
Haimaanishi amepotea.
Utajifunza Retargeting, yaani namna ya kuwafikia tena watu ambao tayari walionyesha interest au kuvutiwa na bidhaa au huduma unayo uza.
Hii inaweza kukusaidia kutumia vizuri watu ambao tayari walishawahi kukutana na biashara yako.
Watu wengi huanza kutangaza bila kuweka mfumo mzuri wa kufuatilia watu wanaofanya vitendo mbalimbali kwenye biashara yao.
Mfano kusoma landing pages zao, or sales latter zao, Waliyo jaza fomu maalumu za mawasiliano, waliyo fikia kwenye mchakato wa kulipia bidhaa au huduma baadae wakahairisha
Utajifunza umuhimu wa Meta Pixel na tracking.
Hii inaweza kukusaidia kujenga msingi wa
Kujua → Kufuatilia → Kuwarudia → Kuwageuza kuwa wateja.
Usiseme
Nadhani tangazo hili ni zuri.
Uliza
Data zinaniambia nini kuhusu ili tangazo?
Utajifunza kusoma metrics muhimu za Meta Ads na kuzitumia kufanya maamuzi.
Kwa sababu
Data nzuri → Uamuzi mzuri → Matangazo bora zaidi.
Kabla hujaongeza budget, kwenye tangazo utakuwa na uwezo wa
kulipima kwanza
kulijaribu
Kulilinganisha na matangazo mengine
Kuliboresha
Kisha ndipo uamue kuongeza pesa au kuto kuongeza pesa.
Usiwekeze fedha nyingi kwenye tangazo lisilo kupa matokeo Chanya, jifunze kutambua tangazo lenye matokeo Chanya katika hatua za awali kabisa kwa kutumia bajeti ndogo.
Tangazo likianza kufanya vizuri, usiongeze pesa kwa kubahatisha.
Utajifunza kanuni za scaling, ili ujue namna ya kuongeza budget kwenye tangazo lenye dalili nzuri za kufanya kazi.
Lengo si kutumia pesa nyingi.
Lengo ni kutumia pesa kwa uelewa zaidi.

Fikiria tofauti hii

Mfanyabiashara wa kwanza
  • Anatengeneza tangazo na kulipost.
  • Anachagua audiance (watu anaotaka kuwafikia)
  • Anaweka taarifa za kadi ya malipo
  • Anapublish tangazo lake
  • Halafu anasubiri matokeo.
Mwisho wa siku hapati matokeo aliyo tarajia na anahitisha kwa kusema matangazo ya kulipia (sponsored Meta ads) haifanyi kazi.
 
Mfanyabiashara wa pili
  • Anamuelewa mteja wake kwa undani.
  • Anaandika tangazo vizuri linalo lenga wateja wake bora kwa kufata kanuni za uandishi wa ujumbe wa mauzo.
  • Anaweka tracking (Meta Pixel na Conversation Api).
  • Ana-test tangazo lake katika hatu za mwazo, kabula ili kujua kama litampa matokeo chanya au hasi.
  • Anaangalia data au takwimu za tangazo lake.
  • Anaboresha tangazo kulingana na data au takwimu.
  • Anawafikia tena waliovutiwa na tangazo lake kwa mara ya kwanza.
  • Anaongeza budget kwenye kile kinachofanya vizuri.
 
Swali ni hili : Kati ya hao wawili wewe unataka kuwa yupi?…………..

Ukijiunga, hupati kozi peke yake

Ukijiunga na kozi hii, hutapata kozi peke yake pia utapata 
📘 Kitabu cha Ngome ya Biashara za Mtandaoni
Kitabu kinachokuongezea maarifa kuhusu biashara na Jinsi ya kuandaa na kuset matangazo, ili yakuletee wateja wengi bila kutumia gharama kubwa.
Pata templates za kukusaidia kuandaa ujumbe wa matangazo. unaovuta umakini wa mteja, unaojenga uaminifu na kumgeuza msomaji kuwa mteja wa bidhaa au huduma yako.
Usianze kila kitu kutoka sifuri, Tumia template kuandaa matangazo yako.
Checklist utakyo tumia kukagua hatua muhimu katika tangazo lako, kabla hujaanza kusponsor Matandaoni.
Ukijiunga na kozi hii utapata nafasi ya kuuliza maswali na kupata msaada wakati unaendelea kujifunza.
Utaunganishwa kwenye group la whatsapp ambako utapata nafasi ya kujifunza kwa njia ya kuuliza  maswali na kushare umaharifa Pamoja na wanafunzi wengine.
Jifunze online kupitia website yetu  muda wowote unaotaka.
Thamani halisi ya kozi hii ni Tsh 890,000/=
Lakini wewe hautalipia kiasi hiki chote cha pesa Tsh 890,000/=, utapata punguzo la bei kwa zaidi nya asiliami 80%
 
Ushidwe tu wewe ambapo utalipia Tsh 169,000/=
Lakini pia uwenda kiasi hiki huna kwa sasa
 
Tunakupa furusa ya kulipia kiasi cha Tsh 15,000 tu
Kuanza kujifunza leo na wakati ukiendelea na mafunzo utaweza kulipia kiasi kingine kilicho baki.

Jifunze wakati wowote kulingana na Ratiba yako

Kozi Hii unaweza kujifunza wakati wowote namahali popote kupitia tuvuti ya
www.joctanmotoka.com
 
Baada ya kujiunga utapewa link na password maalumu ya kuingia kwenye eneo lako la kujifunzia.
  • Huhitaji kusubiri darasa.
  • Huhitaji kukimbizana na muda.
  • Jifunze wakati unaokufaa wewe.

Kozi hii ni kwa ajili yako kama..........

Una biashara na unatafuta wateja online.
Unatumia Facebook, Instagram au WhatsApp kuuza.
Umewahi kusponsor lakini hujapata matokeo uliyotarajia.
Unauza:
👗 Nguo
💄 Vipodozi
📱 Simu na electronics
👟 Viatu
🍔 Chakula
🏠 Nyumba na viwanja
🚗 Magari
💻 Huduma za kidigitali
💼 Huduma za kitaalamu
🌿 Virutubisho
📚 Kozi na elimu
✈️ Usafiri na utalii
💇 Saluni na beauty services
🏋️ Fitness services
🛍️ Bidhaa za online
Na biashara nyingine zinazohitaji wateja kutoka mtandaoni.
Kama unahitaji wateja, unahitaji kujua jinsi ya kuwafikia.

Hata kana haujawahi kujifunza Meta-Ads hakuna tatizo?

Kozi hii imeandaliwa kwa lugha rahisi na hatua kwa hatua.
Huhitaji kuwa mtaalamu wa matangazo ili kuanza au mtaalamu wa kompyuta ili kujifunza.
 
Unahitaji tu kuwa tayari
Kujifunza na kuwa na vitu muhimu kama simu au kompyuta na internet 

Nikijiunga halafu nisiridhike na kozi yenu?

Hili ni swali la kawaida.
Ndiyo maana nimeweka utaratibu wa kuanza kozi hii kwa TSh 15,000/= tu badala ya kulazimika kulipa TSh 169,000/= yote mara moja.
 
Anza kozi hii kwa kulipia TSh 15,000/= tu.
Jifunze, hatua kwa hatua
Angalia mafunzo kama yanakufaa.
 
Tumia ulichojifunza katika hii kozi.
Pima kama kozi inakupa thamani unayoitafuta.
Ukiridhika, endelea na malipo yaliyosalia.
Na kama ndani ya siku 7 utaona kozi haikupi thamani uliyoitarajia, unaweza kuomba kurejeshewa TSh 15,000/= yako ya mwanzo, kulingana na masharti ya guarantee.
 
Hii inamaanisha
Huhitaji kuweka TSh 169,000/= yote mezani kabla hujaanza kuona unachopata.

Usubiri hadi upoteze pesa nyingi zaidi ndipo uanze kujifunza

Kama tayari unatumia pesa kwenye Meta Ads au unatarajia kutumia pesa kulipia matangazo mtandaoni,
 
Swali siyo “Nitatumia pesa kiasi gani?”
Swali ni “Ninajua ninachofanya na pesa hii?”
  • Kila tangazo linapaswa kukupa taarifa.
  • Kila data inapaswa kukusaidia kufanya uamuzi.
  • Kila uamuzi unapaswa kukusaidia kuboresha zaidi.
Hapo ndipo matangazo yanaanza kuwa mfumo wa biashara, na siyo  bahati.

Jenga Ngome ya Biashara yako Mtandaoni

Biashara yenye nguvu haitegemei bahati.
Inahitaji:
  1. Ujuzi
  2. Mfumo
  3. Data
  4. Ujaribu
  5. Maamuzi sahihi
  6. Na uwezo wa kuboresha
Anza kujifunza leo.
META ADS COURSE + NGOME YA BIASHARA ZA KIDIGITALI
KOZI + KITABU + TEMPLATES + CHECKLIST + MENTORSHIP + WHATSAPP GROUP
 
Thamani ya Kozi: TSh 169,000/=
Anza leo kwa TSh 19,000/=

Unataka kitabu peke yake?

NGOME YA BIASHARA ZA KIDIGITALI.
  • Mbinu za Kufanikiwa Katika Matangazo ya Kulipia Mtandaoni
  • Mbinu za kuandaa na kuset matangazo yanayouza zaidi mtandaoni bila kutumia gharama kubwa
Hard Copy: TSh 40,000/=
Soft Copy: TSh 20,000/=
Chagua Sasa

Usipoteze pesa kwa Kusponsor Matangazo bila ujuzi.

  • Jifunze ujuzi
  • Tumia ujuzi huo kusponsor matangazo yako.
  • Pima matokeo utakayo yapata.
  • Boresha zaidi.
Na jenga biashara imara itakayo kupa wateja kila siku mtandaoni.
Anza kozi hii kwa kulipia TSh 15,000/= tu leo.

Maswali ninayo ulizwa mara kwa mara

Usiache hofu ikuzuie kujifunza ujuzi unaoweza kubadilisha namna unavyofanya biashara yako online.
Huenda una maswali kama haya
Hapa chini nimekujibu kwa lugha rahisi kabisa.
Mimi sijasoma masuala ya kompyuta. Nitaweza kweli?
Jifunze online kupitia website yangu muda wowote unaotaka.
Kitabu kinachokuongezea maarifa kuhusu biashara na matangazo ya kulipia mtandaoni.
Usianze kila kitu kutoka sifuri, Tumia template kuandaa Meta Ads.
Pata templates za kukusaidia kuandaa ujumbe wa matangazo.
Kagua hatua muhimu kabla hujaanza kusponsor matangazo yako.
Ukijiunga na kozi hii utapata nafasi ya kuuliza maswali na kupata msaada wakati unaendelea kujifunza.
Utaunganishwa kwenye group la whatsapp ambako utapata nafasi ya kujifunza kwa njia ya kuuliza  maswali na kushare umaharifa Pamoja na wanafunzi wengine.

Kama una biashara Mtandaoni, Huu ni wakati wa kuongeza ujuzi wako.

Usiwe mtu anayesema “Niliwahi kusponsor lakini sikupata matokeo.”
Kuwa mtu anayesema 
  • Najua ninachotangaza,
  • Najua ninamtafuta nani,
  • Najua ninachopima, na
  • Najua hatua yangu inayofuata.
Huo ndio uwezo tunataka ujenge kupitia NGOME YA BIASHARA ZA KIDIGITALI.

Biashara ya karne hii haihitaji Juhudi peke yake

Inahitaji
  1. Kasi
  2. Mpangilio
  3. Mawasiliano
  4. Teknolojia
  5. Automation
Na muhimu zaidi
Mfumo unaoweza kukusaidia kufanya zaidi bila kulazimika kufanya kila kitu mwenyewe.

Usiache hofu ikufanye ubaki pale pale.

  • Simu uliyonayo inaweza kuwa mwanzo.
  • Internet uliyonayo inaweza kuwa darasa lako.
  • Utayari wako wa kujifunza unaweza kuwa hatua yako ya kwanza.
Lipia Tsh 15,000/= kuanza sasa
Na anza kujenga uwezo wa kuendesha meta-ads kwa ujuzi, na siyo kwa kubahatisha.

Mfumo wa Kunasa wateja Mtandaoni

Usiangaike kutafuta wateja kila siku.
  • Jenga mfumo utakao kusaidia kuwapata.
  • Jifunze kujenga mfumo, hatua kwa hatua utakaokuletea wateja, utakao hongeza mauzo na kukuza biashara yako 
  • Bila kutegemea juhudi zako kila dakika

Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kurahisisha Biashara yako ya Network Marketing

Siyo kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi kwa sasa.

Pata vitabu na Miongozo mbalimbali itakayo kusaidia, kubadilisha Biashara yako Mtandaoni

Subscribe uzidi kupata Taarifa zetu zaidi kwa kujaza fomu hapa chini

    Scroll to Top