Biashara yako inakosa Mfanyakazi mmoja tu
Na huyo ndiye anaweza kubadili Mwelekeo wa Biashara yako Milele
Mfanya kazi huyu Hachoki, Hapumziki bila sababu, haombi likizo, hajawahi kuchelewa kazini, halalamiki kuhusi kazi, anafanya kazi kwa uaminifu……..
Jinsi Maneno Yanavyoweza Kubadilisha Biashara Yako Mtandaoni
Biashara yako haihitaji muujiza. Inahitaji maneno sahihi.
Maneno yanayowafanya watu wavutike, yanayowafanya wakuamini, na hatimaye kuwageuza wanaoyasoma kuwa wateja wa bidhaa au huduma zako.
Una bidhaa nzuri lakini unapata shida kupata wateja na kuongeza mauzo?
Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako.
Ndani yake, utajifunza kuandika ujumbe unaovutia umakini, kujenga uaminifu na kuwafanya watu wanunue kutoka kwako au kuchukua hatua unayoikusudia.
Huenda umejiuliza Kwa nini nina bidhaa nzuri lakini sipati wateja wa kutosha?
Kwa nini ninatumia pesa kwenye matangazo lakini sipati matokeo?
Kwa nini watu wanaona matangazo yangu, lakini hawachukui hatua?
Maswali haya yamewakabili wafanyabiashara wengi.
Ndiyo maana nimeandaa kitabu hiki.
Ndani yake, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kumjua mteja wako, kutengeneza ujumbe unaovutia, kutumia Meta Ads kwa usahihi, kuepuka makosa yanayopoteza fedha wakati wa kusponsor matangazo, kusoma data au takwimu na kuboresha matangazo yako ili kuongeza mauzo na kukuza biashara yako
Acha kutafuta wateja kila siku
Jenga mfumo utakokuasidia kuwapata kila siku.
Jifunze kujenga mfumo, unaokuletea wateja, unaoongeza mauzo na unaokuza biashara yako bila kutegemea juhudi zako kila dakika
Je, unafanya Network Marketing kwa bidii kubwa, lakini matokeo hayaendani na juhudi unazoweka?
Tatizo siyo bidhaa unazouza wala kampuni unayofanyia kazi.
Tatizo ni namna unavyoijenga na kuiendesha biashara yako.
Kitabu hiki kinakupa mtazamo mpya wa kuendesha biashara ya Network Marketing kwa njia ya kisasa na kitaalamu, kwa kutumia mbinu za kidigitali zitakazokusaidia kuongeza mauzo, kupata washirika wengi zaidi (Downline), na namuna rahisi zaidi ya kuwafundisha na kuwasimamia downline wako.
Unafanya Network Marketing kwa bidii lakini bado matokeo hayaendani na juhudi zako?
Unatafuta downline, unafanya presentations na follow-up, lakini bado unapata changamoto kujenga timu imara inayokua kwa uthabiti?
“Mfumo wa Kunasa Downline Mtandaoni” kinakusaidia kubadilisha namna unavyoendesha biashara yako, kwa kukufundisha jinsi ya kuvutia watu sahihi, kujenga uaminifu, kufanya follow-up kwa ufanisi na kukuza timu yako kwa haraka na uhakika.
Badala ya kutegemea bahati au juhudi zako pekee, utajifunza kuendesha biashara kwa kutumia mfumo unaokusaidia kupata downline kirahisi na kuongeza mauzo zaidi katika biashara yako.
Je, unafanya kazi kwa bidii lakini bado kipato chako hakiendani na mahitaji yako? Mahitaji yako yanaongezeka, lakini kipato chako kinaonekana kubaki pale pale.
“Zaidi ya Mshahara” ni kitabu kinachokusaidia kutazama maisha yako ya kifedha kwa mtazamo mpana zaidi, kuelewa umuhimu wa kuwa na chanzo cha ziada cha kipato, na kuifahamu Network Marketing kwa uelewa sahihi, bila kuathiriwa na mitazamo hasi au taarifa zisizo sahihi kuhusu biashara hii.
Kitabu hiki pia kinakusaidia kutofautisha biashara halali ya Network Marketing na mifumo ya kitapeli (scams), huku kikikuonyesha njia rahisi na bora za kujenga na kukuza biashara kwa kutumia ujuzi wa kidigitali
Mshahara unaisha kabla ya mwezi kuisha, hakuna mshahara unakutana na mshahara wa mwezi mwingine,
Hadi unalazimika kukopa kusubiri mshahara wa mwezi mwingine.
Huku ndoto zako za kujenga nyumba, kununua gari, kuwekeza, na kuisaidia familia zikihairishwa kila mwaka.
Fumbua Macho inakupa mtazamo mpya wa kujenga chanzo kingine cha kipato kupitia Network Marketing, bila kulazimika kuacha kazi yako unayofanya kwa sasa.
Kitabu hiki kinakusaidia kuona fursa ya Network Marketing kwa mtazamo tofauti,Kinakupa njia rahisi na bora za kuanza biashara, kukua kwa haraka kwa kutumia ujuzi wa kidigitali kama vile Automation, Copywriting, Meta Ads, Follow-up… kuelekea kwenye maisha ya uhuru wa kifedha.
Je, unafanya kazi kwa bidii lakini bado kipato chako hakiendani na mahitaji yako? Mahitaji yako yanaongezeka, lakini kipato chako kinaonekana kubaki pale pale.
“Zaidi ya Mshahara” ni kitabu kinachokusaidia kutazama maisha yako ya kifedha kwa mtazamo mpana zaidi, kuelewa umuhimu wa kuwa na chanzo cha ziada cha kipato, na kuifahamu Network Marketing kwa uelewa sahihi, bila kuathiriwa na mitazamo hasi au taarifa zisizo sahihi kuhusu biashara hii.
Kitabu hiki pia kinakusaidia kutofautisha biashara halali ya Network Marketing na mifumo ya kitapeli (scams), huku kikikuonyesha njia rahisi na bora za kujenga na kukuza biashara kwa kutumia ujuzi wa kidigitali
Siyo kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi kwa sasa.
