Kuhusu Mimi (About Me)

Hapa kuna makala mbali mbali zilizo jikita katika nyanja mbali mbalimbali za kidigitali, ikiwa ni pamoja na ujuzi wa copy writting, Network marketing, Digital marketing, Automation, Matumizi ya Ai katika biashara yako, ujuzi utakao kusaidia, kukuza biashara yako na kushuhudia matokeo makubwa (Mara tano zaid 5x) kuliko awali

 

“Acha Kupoteza Pesa kwenye Sponsord Ads, Anza Mfumo Unaobadilisha Leads (wanaoona matangazo yako) kuwa Sales (wanunuzi)”

“PataWateja na Downliners kwenye biashara yako ya network Marketing— Bila Kuwafuata Watu Moja Moja”

Mimi Ni Nani (Who I Am)

Mimi ni Joctan Motoka, mtaalamu wa network marketing (Network Marketing Strategist), mkufunzi wa mifumo ya kidigitali (Digital Systems Trainer), na mtaalamu wa automation (Automation Specialist).

Ninasaidia watu katika network marketing kubadilisha biashara zao kutoka mfumo wa manual wenye shida (manual struggling system) kwenda kwenye mfumo wa kisasa unaojiendesha (automated scalable system) kwa kutumia:

  • Ujuzi wa kidigitali (Digital Skills)
  • Mfumo wa kufuatilia wateja (Follow-up Automation Systems)
  • Matangazo ya kulipia (Paid Advertising)
Lengo langu ni moja
  • Kukusaidia kupata wateja wengi,
  • downliners wengi,
  • Na mauzo mengi bila kupoteza muda kuwafuatilia watu moja moja na bila kupoteza pesa nyingi kwenye matangazo ya kulipia.
Ukweli Unaofichwa Katika Network Marketing (Hidden Truth)

Watu wengi wanasema kuwa network marketing haifanyi kazi (Network Marketing does not work) na wengine wanasema ni ngumu

Lakini ukweli ni huu

Si kwamba biashara haifanyi kazi au ni ngumu — bali ni mfumo au njia unazotumia ndizo hazikupi matokeao maana zimepitwa na wakati/ haifanyi kazi.

Na ikumbukwe kwambi ni vigumu Kushida mchezo kama haujui sheria za huo mchezo, network marketing ni kama mchezo unasheria na kanuni zake hivyo unapaswa kujifunza na kuzifahamu ili ufanikiwe.

Watu wengi hushindwa na kuikimbia biashara ya network marketing kwa sababu zifuatazo
  • Hawana mauzo ya kutosha kupata faida (lack of sales for profit)
  • Wanatumia mbinu za zamani zisizo na ufanisi (outdated manual techniques)
  • Wanategemea mazungumzo ya moja kwa moja kufanya mauzo na kuwajoin watu kwenye biashara (Recruiting downline), bila kutumia mfumo (manual prospecting)
  • Wanapoteza watu wanaoonyesha interest baada ya matangazo (lost leads after ads) kwa kutokufanya follow-up kwa hao watu waliyo onyesha interest kwenye matangazo waliyo sponsor
Scroll to Top