ULIMI UNAOVUTA

Mbinu za kuandika ujumbe unaovuta umakini, unaojenga uaminifu na kuwageuza wasomaji kuwa wateja.

Kuna kitu kimoja kinachoweza kuwa kinakuzuia kupata wateja wengi mtandaoni

  • Si lazima iwe bidhaa yako.
  • Si lazima iwe bei yako.
  • Si lazima iwe kwamba watu hawahitaji unachouza.
Huenda tatizo ni jinsi unavyowaambia kuhusu kile unachouza.
Hebu jiulize.
  1. Unaweka post, lakini watu wanaangalia na kupita?
  2. Unaweka video, lakini watu hawaendelei kuitazama?
  3. Unaandika caption nzuri, lakini hakuna anayekuuliza kuhusu bidhaa?
  4. Unatumia pesa kwenye matangazo, lakini response ni ndogo ?
  5. Unapata watu wanaosema, Nitakujulisha, Ngoja nifanye utafiti kwanza au Nitarudi. Halafu hawarudi ?
  6. Una followers, lakini followers hao hawageuki kuwa wateja?
  7. Unaendelea kumfuatilia mteja WhatsApp mpaka unaanza kuhisi kama unamsumbua?
Kama haya yanakutokea, huenda huhitaji kuuza zaidi.
Unahitaji kujifunza kuwasiliana vizuri zaidi.

Mteja wa leo hana muda mwingi wa kusikiliza

Anapofungua Facebook, Instagram, TikTok au WhatsAp
Kuna mamia ya ujumbe unaogombania umakini (attention) wake.
Hivyo ndani ya sekunde chache anaamua:
Hii inanihusu au Hii hainihusu
Ndiyo maana unaweza kuwa na bidhaa bora kuliko mshindani wako.
Lakini mshindani wako akawa anauza zaidi.
Kwa nini?
Kwa sababu anaweza kuwa anajua kutumia maneno vizuri zaidi yako.

Maneno yako yanaweza kumfanya mteja aondoke... Au asogee karibu.

Kila unapoweka:
  • Chapisho (Post)
  • Video
  • Maelezo ya chapisho (Caption)
  • Ujumbe wa WhatsApp
  • Tangazo (Advertisement)
  • Ofa (Offer)
  • Ukurasa wa mauzo (Sales Page)
Kila kimoja ni njia ya kuwasiliana na mteja wako.
Unakuwa unawasiliana na mteja.
Na kila mawasiliano yana nafasi mbili:
Kumvuta Mteja au Kumpoteza Mteja.
Hapo ndipo Copywriting inakuwa muhimu.

Copywriting siyo kuandika maneno mazuri.

Ni kujua maneno gani ya kutumia, kwa nani, kwa wakati gani na kwa sababu gani.
Ni kujua namna ya kumfanya mtu:
  1. Aangalie
  2. Asome
  3. Aelewe
  4. Aamini
  5. Atamani
Na hatimaye…
Achukue hatua uliyo kusudia achukuwe.
Hiyo ndiyo nguvu ya copywriting.

Jifunze kwa kinyonga

Kinyonga hakimbilii mawindo yake.
Hutazama.
Husubiri.
Hujua wakati sahihi wa kuchukua hatua.
Halafu hutumia silaha yake muhimu zaidi Ulimi.
Haitaji kukimbia nyuma ya mawindo yake.
Huyavuta karibu.
Na ndivyo unavyopaswa kufikiria kwenye biashara yako.
 
Badala ya kufukuzia kila mteja…
  • Jifunze kuandika ujumbe unaomvuta mteja mwenyewe.
  • Jifunze kuandika ujumbe unaomfanya mteja aseme “Hii ndiyo nilikuwa natafuta.”

Ndiyo maana niliandika Ulimi Unaovuta

Ulimi Unaovuta ni kitabu cha kukusaidia kuelewa nguvu ya maneno katika biashara na kujifunza namna ya kutumia copywriting kwenye mawasiliano yako ya kila siku na wateja.
 
Ndani ya kurasa 353, utaingia kwenye safari kutoka kwenye misingi ya copywriting hadi mbinu za juu za kuandika ujumbe unaolenga
  • Kupata umakini (attention),
  • Kujenga uaminifu (trust) na
  • Kuchochea kuchukua hatua (action).
Utajifunza kuhusu:
Jinsi ya kuteka umakini wa mteja na kumuongoza kuchukua hatua uliyo ikusudia wewe
Jifunze namna ya kuanza ujumbe kwa kuvuta umakini, kujenga hamu na kuongeza shauku hadi kumfanya mteja awe tayari kuchukua hatua.
Hii itakusaidia kuandika ujumbe ambao hauishii kusomwa tu, bali unamwelekeza mteja hatua kwa hatua kuelekea kwenye uamuzi.
Jifunze namna ya kuonyesha tatizo la mteja kwa lugha anayoielewa na kumsaidia kuona kwa nini ni muhimu kulitatua.
Unapojua kuunganisha tatizo na suluhisho lako vizuri, mteja ataanza kuona thamani ya kile unachouza badala ya kuona ujumbe wako kama tangazo jingine tu.
Jifunze kuandika vichwa vya habari na maneno ya mwanzo yanayovuta umakini na kuamsha udadisi.
Badala ya post au tangazo lako kupita mbele ya mteja bila kusomwa, utajua namna ya kuanza kwa maneno yanayompa sababu ya kusimama na kutaka kujua zaidi.
Jifunze namna ya kuandika ujumbe wa mauzo unaoonyesha si tu unachouza, bali mteja anapata nini na kwa nini kinamhusu. Utaweza kuwasilisha bidhaa au huduma yako kwa njia inayofanya thamani yake ionekane na kumsaidia mteja kuelewa kwa nini anapaswa kuzingatia ofa yako.
Jifunze namna ya kuandika matangazo ya Facebook yanayovuta umakini katika sekunde za kwanza na kumfanya mtu atake kusoma zaidi.
Kwa kutumia maneno sahihi, utaweza kufanya ujumbe wa tangazo lako uwe na nafasi kubwa zaidi ya kuonekana, kusomwa na kumpeleka mteja kwenye hatua inayofuata.
Utaweza kuwasiliana kwa njia ambayo haimlazimishi mteja kununua, bali inamjenga kuelekea kwenye uamuzi kwa mazungumzo sahihi.
Jifunze namna ya kupanga ukurasa wako wa mauzo na kuwasilisha ofa kwa njia ambayo mteja anaelewa kwa urahisi anachopata, kinachomsaidia na kwa nini ofa hiyo ina thamani kwake. Hii inakusaidia kuondoa mkanganyiko na kufanya ofa yako iwe rahisi kueleweka na kuzingatiwa.
Jifunze kutumia hadithi katika biashara ili kueleza bidhaa, huduma au ujumbe wako kwa njia inayogusa akili na hisia za mteja. Badala ya kutoa taarifa ambazo zinaweza kusahaulika haraka, utaweza kuunda ujumbe ambao mteja anauelewa, anauhusisha na maisha yake na ana uwezekano mkubwa wa kuukumbuka.
Jinsi ya kugeuza ujuzi wa maneno (copy writting) kuwa chanzo cha kipato
Jifunze namna ya kutumia ujuzi wa Copywriting kwenye biashara yako na pia kuwasaidia wafanyabiashara wengine. Utaweza kutumia ujuzi huu kuandika matangazo, ujumbe wa mauzo, Sales Pages na maudhui, na hivyo kuwa na ujuzi unaoweza kutumika si kwa kuuza bidhaa zako tu, bali pia kama huduma yenye thamani.

Ni kitu gani cha ziada utapata ndani ya kitabu hiki

Hutapata elimu pekee.
Ndani ya kitabu hiki kuna:
  1. 100 Copywriting Templates
  2. 100 Headline Templates
  3. 50 Facebook Ad Template
  4. 50 WhatsApp Follow-up Templates
  5. 50 CTA Templates
  6. Daily Copywriting Practice Plan ya kukusaidia kuendelea kufanya mazoezi.

Sasa unaweza kupata kitabu hiki kwa kulipia kiasi cha Tsh.....

Soft Copy (PDF) Tsh 30,000/=
Hard Copy Tsh 40,000/=
Lakini kwa sasa nimefungua nafasi maalum kwa Wateja 30 wa kwanza
  • SOFT COPY TSh 20,000/=
  • HARD COPY TSh 35,000/=
Usafirishaji wa hard copy kwa watu wa mikoani ni  TSh 10,000/=
Lipia soft copy sasa na baada ya kulipia utapata link au kiunganishi cha kudownload kitabu hicho
Na kwa wale wanaotaka hard copy jaza fomu kwa kubofya kitufe hapa chini ili kuweka order yako ya kitabu nasi tutashughulikia order yako.

Lakini kabla hujaondoka...

Huenda bado hujawa tayari kulipa TSh 20,000 leo.
Na ni sawa.
Sitaki uondoke bila kupata kitu cha kuanzia.
Kwa hiyo nimekuandalia eBook ya bure.
 
Pakua eBook yako ya bure
NGUVU YA MANENO KATIKA BIASHARA YA MTANDAONI
Jinsi maneno yanavyoweza kubadilisha biashara yako mtandaoni
 
Hii ni nafasi yako ya kuanza kuelewa kwa nini maneno unayotumia kwenye biashara yako yanaweza kuathiri umakini, uaminifu na maamuzi ya mteja.

Kama unataka zaidi ya kitabu nimekuandalia kozi

Kitabu kinaweza kukupa maarifa.
Lakini kama unataka kujifunza, kufanya mazoezi na kujenga uwezo wako wa kuwasiliana kibiashara kwa kina zaidi, nimekuandalia hatua nyingine.
BUSINESS COMMUNICATION MASTER CLASS (BCM)
Mafunzo ya Copywriting & Business Communication
Hapa tunakwenda zaidi ya kusoma.
Utajifunza jinsi ya kutumia ujuzi wa copywriting katika mawasiliano halisi ya biashara.

Usimkimbize mteja, jifunze kumvuta.

Ulimi unaovuta
Mbinu za kuandika ujumbe unaovuta umakini, unaojenga uaminifu na kuwageuza wasomaji kuwa wateja.
Na safari yako ya kuwa bora katika mawasiliano ya biashara inaanzia hapa.
  • Soft Copy: TSh 20,000/=
  • Hard Copy: TSh 35,000/= + TSh 10,000/= Gharama ya usafirishaji kwa waliyo nje ya Dar es salaam
Kwa wateja 30 wa kwanza.

Uwenda na wewe ukawa na maswali kama haya amabayo wateja wangu wengi wamekuwa wakiniuliza

1. Kitabu cha ULIMI UNAOVUTA kinahusu nini hasa?
Utapata mfululizo wa video (Video Training Series) uliopangwa hatua kwa hatua.
Lengo ni wewe ujifunze kwa namuna ambayo utaelewa na kuutumia ujuzi utakao fundishwa kuendesha biashara yako.
Tumekuandalia eBook Guide inayosaidia kuunganisha kile unachotazama kwenye video na hatua unazofanya.
Unaweza kuitumia
  • Wakati wa kujifunza.
  • Wakati wa kufanya setup.
  • Ukisahau hatua.
  • Unapojenga automation nyingine baadaye.
Ebook hii ni mwongozo wa kurejea unapokuwa unafanya kazi.
Hutajifunza peke yako.
Utajiunga na wanafunzi wengine kwa
  •  
  •  
  • Kushiriki changamoto wakati w akujifunza.
  • Kuelewa makosa yanayotokea na jinsi ya kuyatatua.
  • Kupata mawazo mapya ya matumizi ya Automation.
Tatizo ambalo lingekufanya ukae siku mbili ukitafuta jibu, ndani ya group hili  linaweza kujadiliwa na kueleweka kwa haraka zaidi.
Kujifunza teknolojia mara nyingine unaweza kukutana na sehemu ukasema
“Hapa nimekwama.”
Ndiyo maana kuna Mentorship.
Lengo ni kukusaidia kuelewa.
Sio kukupa video na kukuacha.
Hutafundishwa kuangalia. Utafundishwa kufanya.

Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kuendesha Biashara yako ya Network Marketing Bure

Si kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi.

Subscribe uzidi kupata Taarifa zetu zaidi kwa kujaza fomu hapa chini

    Scroll to Top