Ninapata mshahara, lakini mshahara wangu hautoshelezi kukidhi mahitaji yangu ya mwezi mzima

Unaisha hata kabla ya mwezi kuisha na ninalazimika kukopa ili kufikia mshahara wa mwezi mwingine.

Kama unafanya kazi kila siku lakini mwisho wa mwezi bado unaishi kwa kusubiri mshahara mwingine, kuna jambo muhimu unahitaji kujifunza.

Kama unafanya kazi kila siku lakini mwisho wa mwezi bado unaishi kwa kusubiri mshahara mwingine, kuna jambo muhimu unahitaji kujifunza.
  • Unaamka
  • Unaenda kazini.
  • Unafanya kazi.
  • Mwezi unaisha.
  • Mshahara unaingia.
Lakini kabla hujapumua vizuri
  • Kodi
  • Chakula
  • Usafiri
  • Ada
  • Madeni
  • Familia
  • Mahitaji mengine.
Mshahara unaisha kwa kulipa bili za kawaidia tu za maisha ya kila siku, na wakati furani unalazimika kukopa ili kulipa mahitaji ya msingi ya maisha ya kila siku.
 
Halafu unajiuliza “nitafanya hivi hadi lini?”
Labda tatizo si kwamba hufanyi kazi kwa bidii.
Labda tatizo ni kwamba unategemea chanzo kimoja tu cha kipato.
 
Sasa fikiria kama unaweza kuanza kujenga chanzo cha ziada cha kipato (Additional Income) bila kuacha kazi yako.
  • Bila kufanya kazi mchana kutwa.
  • Bila kuanza kwa mtaji mkubwa.
  • Bila kuwa mtaalamu wa computer.
  • Bila kuanza kwa kuwasumbua ndugu na marafiki zako wote.
Bali kwa kujifunza ujuzi, mfumo na teknolojia ya leo.

Karibu kwenye network marketing ya karne ya 21.

Jifunze jinsi ya kutumia
 
Ujuzi wa Kidijitali + Teknolojia + Masoko + Ulezi wa Kitaalamu + Mfumo
Digital Skills + Technology + Marketing + Mentorship + System
 
kujenga na kuendesha Network Marketing yako hata ukiwa na muda mdogo baada ya kazi.
Huhitaji kuacha kazi yako. Huhitaji kuwa IT expert. Unahitaji kuwa tayari kujifunza.
Anza kwa Tsh 12,500/=

Je, mshahara mmoja unaweza kukutosheleza kwa kila kitu?

Hili si swali la kukukatisha tamaa.
Ni swali la kukufanya ufikirie.
Kwa sababu maisha yanaendelea.
Mahitaji yanaongezeka.
Familia inakua.
Gharama zinaongezeka.
Lakini mara nyingi.
Mshahara unaendelea kubaki palepale.
 
 
 
Ndiyo maana watu wengi wanaanza kutafuta:
  • Kipato cha Ziada (Additional Income)
  • Biashara ya Ziada (Side Business)
  • Vyanzo Vingi vya Kipato (Multiple Income Sources)
Lakini hapa ndipo tatizo linapoanza.
Watu wanataka kipato cha ziada, lakini hawajui waanzie wapi.
Na wengine wamejaribu Network Marketing lakini wakakata tamaa.
Labda wewe ni mmoja wao.

Ulishawahi kujaribu network marketing, lakini ukaishia njiani?

Uliambiwa
  • Waambie ndugu zako.
  • Waambie marafiki zako.
  • Waambie classmates wako.
  • Waambie coworkers wako.
  • Wapigie simu.
Ukafanya.
  • Mmoja akasema hapana.
  • Mwingine hakujibu.
  • Mwingine akasema “Nitakujulisha.”
  • Mwingine akaanza kukukwepa na kukaa mbali na wewe.
Hatimaye ukachoka.
Ukaachana na biashara.
Na huenda ukaanza kuamini “Network Marketing ni biashara ngumu sana.”
Lakini ngoja.
Vipi kama tatizo halikuwa wewe?
Vipi kama ulikuwa unacheza mchezo wa leo kwa sheria za zamani?

Dunia imebadilika, mteja amebadilika, njia za kuendesha biashara zimebadilika pia.

Leo mtu anaweza kusikia kuhusu biashara yako kupitia:
WhatsApp, Facebook, Instagram, Google, YouTube
  • Anaangalia
  • Anauliza
  • Anafanya utafiti.
  • Anaangalia reviews.
  • Analinganisha
  • Kisha anaamua.

Mteja wa leo hataki kushinikizwa, ili anunuwe.

Bali anataka
  • Taarifa
  • Uelewa
  • Thamani
  • Uaminifu
  • Suluhisho la changamoto yake.
Kwa hiyo…
Kama mteja amebadilika, kwanini tuendelee kutumia njia ileile ya zamani?

Badala ya kukimbizana na wateja, jifunze jinsi ya kuwafanya wakutafute mwenyewe.

Hapo ndipo (Digital Marketing) inapoingia.
Badala ya kuamka kila siku na kusema “Leo nitamtafuta nani?”
Tunataka ujifunze kuuliza
  1. Nataka kumsaidia nani?
  2. Ana tatizo gani?
  3. Nitamfikishiaje ujumbe wangu?
  4. Nitamfundisha nini?
  5. Atachukua hatua gani baada ya kuelewa?
Hapo ndipo tunaanza kujenga MFUMO (SYSTEM).

Network marketing ni kama mchezo.

Na kila mchezo una sheria.
Kama hujui sheria…
Unaweza kucheza kila siku na bado ukashinda kidogo au ukashidwa kabisa.
Network Marketing nayo ni hivyo.
  • Si nguvu pekee.
  • Si kuzungumza na watu wengi pekee.
  • Si kuwa na marafiki wengi pekee.
  • Si kufanya kazi masaa mengi pekee.
Unahitaji kujua jinsi ya kucheza mchezo wa leo.
Jifunze (modern network marketing).

Hapa ndipo safari yako inapobadilika.

Hatukufundishi Network Marketing kwa njia ya “Tafuta watu 100 leo.”
Tunataka ujifunze
  1. Saikolojia ya Mteja (Customer Psychology)
  2. Uuzaji wa Kidijitali (Digital Marketing)
  3. Uandishi wa Kibiashara wa Kushawishi (Copywriting)
  4. Matangazo ya Facebook na Instagram (Meta Ads)
  5. Tovuti ya Biashara (Website)
  6. Uendeshaji wa Kazi kwa Kiotomatiki (Automation)
  7. Kupata Wateja Wanaoweza Kununua (Lead Generation)
  8. Ufuatiliaji wa Wateja (Follow-up)
  9. Uuzaji na Kufunga Mauzo (Sales)
  10. Usimamizi Bora wa Muda (Time Management
 
Kwa nini?
Kwa sababu hatutaki ujue majina ya skills tu.
Tunataka ujue jinsi skill hizi zinavyoweza kubadilisha namna unavyofanya biashara.
Jifunze kuongea na wateja kwa maneno wanayo elewa wao.
Unaweza kuwa na bidhaa (product) au huduma nzuri sana.
Lakini kama hujui kueleza thamani ya hiyo bidhaa au huduma
Mteja anaweza kuona na kupita, bila kununua
Copywriting inakufundisha jinsi ya kuandika ujumbe unaomsaidia mtu:
Aone tatizo → Aelewe → Aone suluhisho → Aone thamani → Achukue hatua.
Utajifunza kuitumia kwenye:
  1. WhatsApp
  2. Facebook
  3. Instagram
  4. Ads
  5. Landing Pages
  6. Offers
  7. Follow-up
Itakubadilishia nini?
Badala ya kusema “Nina biashara nzuri, Jiunge nami leo”
utajifunza kuanza na tatizo la mteja, kumsaidia kulielewa na kumuonyesha suluhisho.
 
Faida kwenye biashara yako
Ujumbe unaoeleweka vizuri humsaidia mteja kuelewa unachouza, kukuamini na kuona thamani ya bidhaa au huduma yako.
Kadiri unavyowasiliana vizuri, ndivyo unavyopata mazungumzo bora na wateja wengi zaidi, na kuongeza fursa za kupata mauzo.
Ujumbe bora → Uelewa zaidi → Imani zaidi → Mazungumzo bora → Fursa zaidi za kupata wateja na kuongeza mauzo.
Jifunze kuifikisha biashara yako kwa watu unaowalenga.
Kuwa na biashara nzuri haitoshi kama hakuna anayejua kwamba biashara hiyo ipo.
Huwezi kumtafuta kila mtu Tanzania.
Lakini (Facebook & Instagram Ads) zinaweza kukusaidia kufikisha ujumbe wako kwa adhira unayolenga.
Utajifunza:
  1. Kuwalenga Wateja Sahihi (Audience)
  2. Kuandaa Kampeni (Campaign)
  3. Kuandika Ujumbe Unaovutia (Ad Copy)
  4. Kutengeneza Maudhui ya Tangazo (Creative)
  5. Kupanga Bajeti (Budget)
  6. Kujaribu Njia Tofauti (Testing)
  7. Kufuatilia Matokeo (Tracking)
  8. Kuboresha Matangazo kwa Matokeo Bora (Optimization)
 
Itakubadilishia nini?
Badala ya kutegemea
“Ndugu zangu, marafiki zangu na watu ninaowajua…”
utajifunza kutumia matangazo ya kulipia, kuwafikia watu unaowalenga na kuwaongoza kwenye mfumo wa biashara yako.
 
Mfumo:
Tangazo → Mteja Anafika kwenye Ukurasa → Anajaza Fomu → Unamfuatilia → Anakuwa Mteja
(Ad → Landing Page → Form → Follow-up → Customer)
 
Faida:
Unaacha kufanya marketing kwa kubahatisha na kuanza kufanya marketing kwa mfumo na data.
Jifunze kuifanya biashara yako ionekane kwa mpangilio.
Mtu anaweza kuona tangazo lako Facebook.
Akaingia Instagram.
Akaamua kutafuta taarifa zako zaidi.
Anaweza kujiuliza:
  1. Wewe ni nani?
  2. Unatoa nini?
  3. Kwa nini akuamini ?
  4. Afanye nini ?
Website au (Landing Page) inaweza kumpa majibu hayo kwa mpangilio.
Utajifunza:
  1. Misingi ya Tovuti (Website Basics)
  2. Kurasa za Kuwafikisha Wateja (Landing Pages)
  3. Mpangilio wa Ukurasa (Page Structure)
  4. Fomu za Wateja Kujaza (Forms)
  5. Ujumbe wa wito wa mteja Achukue Hatua (Call-to-Action)
  6. Namna ya Kuwasilisha Bidhaa au Huduma (Product Presentation)
  7. Safari ya Mteja kutoka Kuvutiwa hadi Kununua (Customer Journey)
 
Itakubadilishia nini?
Badala ya kila prospect kukuambia “Nitumie maelezo ya bidhaa au huduma.”
unaweza kuwa na sehemu inayomsaidia kuelewa biashara yako kwa urahisi zaidi.
 
Faida
Muonekano wa kitaalamu → Imani zaidi → Uzoefu bora kwa mteja → Wateja wengi zaidi kuuliza kuhusu bidhaa au huduma yako.
Professional presentation → Trust → Better customer experience → Better enquiries.
Jifunze jinsi technology inavyoweza kukusaidia hata ukiwa kazini.
Wewe una kazi.
  1. Mteja mtarajiwa (prospect) anaweza kuona tangazo lako usiku.
  2. Mwingine akajaza form wakati wewe uko kazini.
  3. Mwingine akauliza swali wakati wewe umelala.
Je, lazima uwe online kila dakika? Hapana.
Utajifunza misingi ya (Automation) inayoweza kusaidia baadhi ya kazi zinazojirudia.
Mfano:
  1. Anaona tangazo (Ad)
  2. Anaingia kwenye ukurasa wa tuvuti yako (Landing Page)
  3. Anajaza Form
  4. Anapokea taarifa
  5. Anaingia kwenye Follow-up list na kuanza kupokea follow-up message zilizo kuwa automated pasipo wewe kuanza kumtumia mannually
 
Itakubadilishia nini?
Inakusaidia kupunguza kazi zinazojirudia na kupangilia safari ya mteja wako vizuri.
Faida:
  • Utaokoa muda wa kufanya kazi zinazo jirudia rudia ambazo mfumo unaweza kuzifanya
  • Mfumo bora wa kukusanya mawasiliano ya watu wanao vutiwa na biashara yako
  • Mfumo bora wa kuwafatilia watu waliyo onyesha nia au kuvutiwa na bidhaa au huduma unayo toa
  • Utapata muda wa kufanya kazi zingine mhimu zitakazo Saidia kukuza biashara yako
Jifunze kuelewa kwa nini mteja anasema “NDIYO” au “HAPANA.”
Mteja anaweza kusema “Nitafikiria.”
Lakini kwa nini?
  1. Anaweza kuwa haelewi.
  2. Anaweza kuogopa.
  3. Anaweza kutokuamini.
  4. Anaweza kuona bei ni kubwa.
  5. Anaweza kuwa hajawa tayari.
Hapa ndipo (Customer Psychology) inakuwa muhimu.
Utajifunza kuelewa:
  1. Mteja anataka nini
  2. Anaogopa nini
  3. Anauliza nini
  4. Kwa nini anaahirisha
  5. Anahitaji taarifa gani
  6. Jinsi ya kujenga uaminifu (trust)
 
Itakubadilishia nini kwenye biashara yako?
Badala ya kumlazimisha mteja
Utajifunza kumsaidia mteja afanye uamuzi.
 
Faida
  • Uuzaji wa kumsaidia mteja na siyo Uuzaji wa kulazimisha mteja
  • Kumsaidia mteja na siyo Kumsumbua mteja
  • Kumpa elimu na taarifa zinazomsaidia kufanya uamuzi sahihi, na siyo Kumshawishi kwa nguvu
Jifunze jinsi ya kuifanya biashara yako ionekane mtandaoni.
Digital Marketing si kuwa na Facebook au Instagram tu.
Ni kutumia technology kwa mpangilio:
  • Kuwafikia watu sahii
  • Kuwapa taarifa
  • Kujenga uaminifu (trust)
  • Kuwaongoza hatua inayofuata
 
 
Utajifunza jinsi ya kuunganisha
Kuunganisha kila hatua ya biashara yako, kuanzia kutengeneza maudhui, kuvutia wateja, kutangaza, kuwapeleka kwenye tovuti, kuwafuatilia na kutumia mifumo ya kiotomatiki ili kupunguza kazi za kurudia na kuongeza fursa za kupata wateja na mauzo.
 
Content + Copywriting + Social Media + Ads + Website + Follow-up + Automation
 
 
Itakubadilishia nini?
Badala ya kuuliza “Leo nimtafute nani?”
Unaanza kuuliza:
  • Ninamtafuta nani,
  • Nitamfundisha nini, na
  • Nitampeleka wapi?
 
Faida:
  1. Badala ya kumfukuza mteja kila wakati, utajifunza jinsi ya kuvutia wateja sahihi, kuwajengea uaminifu na kuwafanya wawe tayari kununua.
  2. Kutoka kufanya Marketing kwa kubahatisha, hadi kuwa na mfumo unaofanya kazi kwa mpango na unaoweza kukusaidia kupata wateja na kuongeza mauzo.
Jifunze jinsi ya kupata watu wanaoonesha interest.
Si kila mtu ni mteja wako.
Na si lazima uzungumze na kila mtu.
Lead generation inakufundisha jinsi ya kutengeneza njia ambayo mtu anayevutiwa anaweza kupita
Kuona → Kuvutiwa → Kuacha taarifa → Kuanza mawasiliano.
 
Mfano
Tangazo → Linamvutia mtu anayehitaji bidhaa au huduma yako.
Ukurasa wa Biashara → Unamweleza zaidi kuhusu unachouza.
Fomu → Anaacha jina na namba yake ya simu.
WhatsApp / Ufuatiliaji → Unawasiliana naye, unamjibu na kumsaidia kufanya uamuzi wa kununua.
Kwa kifupi: Tangazo → Kuvutia → Kukusanya taarifa → Kuwasiliana → Kupata Mteja.
 
Itakubadilishia nini?
Badala ya kila siku kuanza kutafuta mtu wa kuongea naye kutoka sifuri…
unaweza kuwa na mfumo wa kukusanya watu ambao tayari wameonyesha kuvutiwa na bidhaa au huduma unayo uza.
 
Faida:
Utajifunza jinsi ya
  • Kutafuta wateja kwa mpangilio,
  • Kuwafuatilia kwa wakati unaofaa, na
  • Kupunguza kutafuta wateja kwa kubahatisha bila kujua uanze wapi.
More organised prospecting → Better follow-up → Less random searching.
Jifunze kutumia muda ulio nao kwa busara.
Una Kazi, Familia, Majukumu na Biashara.
Ukiwa huna mpangilio KILA KITU KITAKUWA KAZI.
Utajifunza kupanga:
  • Muda wa kujifunza
  • Muda wa marketing
  • Muda wa kufanya (follow-up)
  • Muda wa kutengeneza mahudhui (content)
  • Muda wa kuwahudumia wateja (customer service)
 
Itakubadilishia nini?
Badala ya kusema “Sina muda.”
utaanza kuuliza “Nina muda gani, na ninaweza kuutumiaje vizuri?”
 
Faida:
  • Badala ya kuwa na shughuli nyingi bila mpangilio, utajifunza kufanya kazi zako kwa mpangilio na kwa ufanisi.
  • Badala ya kuchanganyikiwa na kutokujua uanze wapi, utakuwa na mpango rahisi unaokuonyesha hatua za kufuata.
  • Badala ya kujaribu kufanya kila kitu, utajifunza kuzingatia mambo muhimu yanayoleta matokeo kwenye biashara yako.
Jifunze kumsaidia customer hadi afanye uamuzi.
Kuuza (Sales) si kumlazimisha mtu anunue.
Mteja anaweza kuhitaji:
  • Taarifa
  • Majibu
  • Ufafanuzi
  • Trust
  • Muda wa kufikiria.
Utajifunza:
  • Jinsi ya kufanya follow-up bila kumsumbua mteja
  • Kujibu pingamizi (objections) alizo nazo mteja kwa kutumia lugha sahii ya biashara
  • Kuuliza maswali kwa mteja
  • Kujua kama mtu yuko tayari kununua bidhaa au huduma
  • Kumsaidia mteja kufanya uamuzi
 
 
Itakubadilishia nini?
Badala ya kuwa namazunguzo kama
  • Umeamua au hautaki?
  • Mbona hujajibu ujumbe wangu?
Utajifunza kuwa na mazungumzo yenye maana.
 
Faida
  • Badala ya kumshinikiza mteja, utajifunza jinsi ya kumsaidia kufanya uamuzi kwa uelewa.
  • Badala ya kumfuatilia mteja bila mpango, utajifunza kuwa na mpango mzuri wa kufuatilia kila mteja kwa wakati unaofaa.
  • Badala ya kumsumbua mteja mara kwa mara, utajifunza jinsi ya kumpa msaada na taarifa muhimu zinazomsaidia kufanya uamuzi.

Ukiunganisha hivi vyote, haujengi skill pekee, unajenga mfumo wa biashara.

Angalia:
  • Copywriting: Inaandika ujumbe.
  • Meta ads: Inaufikisha kwa audience.
  • Landing page: Inamweleza customer.
  • Lead generation: Inakusanya watu wenye interest.
  • Automation : Inasaidia kupanga baadhi ya hatua.
  • Customer Psychology: Inakusaidia kumuelewa mteja.
  • Follow-up: Inaendeleza mawasiliano.
  • Sales: Inamsaidia mteja kufanya uamuzi.
Huu ndiyo mfumo wa biashara ya kisasa.

Hutakuwa unajifunza peke yako.

Ukijiunga na team yetu, hupatiwi videos tu na kuambiwa “Jifunze mwenyewe.”
Unapata mwongozo, mafunzo na msaada kutoka kwa timu yetu.
Tunafanya Face-to-Face Training mara mbili kwa wiki.
Unaweza kuhudhuria kwa wale wakazi wa Dar es salaam? Karibu.
Huwezi kuhudhuria? Usiwe na hofu.
Kile chote tunacho Jifunza kwenye Face-to-face Training kinarekodiwa.
Na kutumwa kwenye WhatsApp Group la team.
Kwa hiyo ukiwa, Dar es Salaam.
Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Zanzibar, Pemba Au sehemu nyingine Tanzania Bara na Visiwani…
Bado unaweza kujifunza.

Kazi yako isikuzuie kujifunza.

Tunajua una:
  • Kazi
  • Familia
  • Majukumu
  • Muda mdogo.
Ndiyo maana tunakupa nafasi ya kujifunza kupitia Online mafunzo yaliyo andaliwa hataua kwa hatu, kwa njia rahisi ya kumsaidia mtu kuelewa bira kuchanganyikiwa wakati wa kujifunza.
Mafunzo haya yamejumuisha VIDEO, PDF, WORDS, POWER POINT, & PICHA
Jifunze kwa kadiri ya nafasi unayo ipata, kulingana na ratiba zako, uliza maswali wakati wowote kwenye WhatsApp group la timu yetu na wewe utajibiwa.

Uwend ana wewe ukawa unajiuliza maswali kama haya

Hatutaki uache kazi yako.
Tunataka ujifunze namna ya kujenga kipato nje ya mshahara wako
Unaweza kutumia muda kidogo unaopata
  • Baada ya kazi.
  • Weekend
  • Wakati wa mapumziko.
  • Muda unaopatikana kati kati ya majukumu ya kazi.
Fanya kwa mfumo, sio kwa presha.
Umbali usiwe kikwazo cha kujifunza.
Huhitaji kufika ofisini kwetu ili kujifunza.
Unaweza:
  1. Kujifunza online mafunzo yaliyo rekodiwa tayari yenye mtiririko unao kuongoza hatua kwa hatua kutoka kutokujua chochote hadi kuwa mubobezi wa kuendesha biashara ya network marketing kwa kutumia ujuzi wa kidigitali.
  1. Sambamba na hilo unaweza kufanya marketing ya bidhaa na huduma online, wakati ambapo wateja wanahitaji bidhaa au huduma unaweza kuwaelekeza kufika kwenye ofisi zetu mbalimbali zilizopo mikoa yote Tanzania.
Jifunze popote. Jenga na endesha biashara yako kwa mfumo.
Uliza kabula ya kuanza biashara.
Elewa kabula ya kuanza biashara. Kisha amua kufanya biashara.
Tunataka uelewe vizuri biashara unayojiunga nayo kabla ya kufanya uamuzi.
 
Network Marketing ya kweli inapaswa kuwa na vitu muhimu vifuatavyo:
  • BIDHAA (Product) – Kuna bidhaa au huduma halisi inayotolewa.
  • WATEJA (Customers) – Kuna watu wanaonunua na kutumia bidhaa au huduma.
  • MAUZO (Sales) – Kipato kinatokana na mauzo ya bidhaa au huduma.
  • MASOKO (Marketing) – Kuna njia halali za kutangaza na kuwafikia wateja.
  • MAFUNZO (Training) – Unapewa mafunzo ya kukusaidia kuelewa na kufanya biashara.
  • UONGOZI (Leadership) – Kuna viongozi na mfumo wa kukusaidia kukuza biashara yako.
 
Jambo la muhimu
Kuna bidhaa au huduma halisi inayouzwa kwa mteja (Customer).
Hatupendekezi mfumo ambao mtu anaingia kwa kulipa fedha tu, kisha anategemea kupata pesa kwa kuingiza watu wengine.
Biashara ya kweli inajengwa juu ya thamani
Biashara inapaswa kujengwa juu ya bidhaa au huduma yenye thamani kwa mteja, pamoja na mauzo na huduma nzuri kwa wateja.
Usijiunge kwa sababu umeambiwa tu.
Uliza, Elewa, Chunguza, Kisha amua kwa uhakika.
Hapana.
Tunataka kuwa wa wazi na wa kweli tangu mwanzo.
Hii ni biashara, sio miujiza.
Kama ilivyo kwenye biashara nyingine, mafanikio yanahitaji:
Ujuzi (Skills) + Kuchukua Hatua (Action) + Kuendelea Kujituma (Consistency) + Muda + Wateja (Customers) + Juhudi (Effort)
Hakuna anayekuahidi kwamba utapata kiasi fulani cha pesa au utapata pesa kwa muda fulani.
 
Hatuuzi ahadi za pesa rahisi.
Tunachokupa ni mazingira na zana za kukusaidia kujifunza na kujenga biashara yako:
  • Mafunzo (Training)
  • Mwongozo na ushauri (Mentorship)
  • Ujuzi wa kidijitali (Digital Skills)
  • Zana za kazi (Tools)
  • Jamii ya watu wa kujifunza pamoja (Community)
  • Msaada (Support)
  • Mfumo wa kujifunza na kufanya kazi
 
Na wewe una sehemu yako ya kufanya.
Sisi tunakupa maarifa, mafunzo, zana na msaada.
Lakini wewe ndiye unayehitajika kuchukua hatua, kufanya kazi, kutafuta wateja na kujenga biashara yako.
Hakuna pesa za haraka.
Kuna kujifunza, kufanya kazi, kuwa na subira na kujenga hatua kwa hatua.
Haujachelewa.
  • Huhitaji kuwa programmer.
  • Huhitaji kuwa IT expert.
  • Huhitaji kujua kila kitu kabla ya kuanza.
Tunajenga uwezo hatua kwa hatua.
Kama unaweza kutumia:
  • WhatsApp
  • Facebook
  • Instagram
Unaweza kuanza kujifunza.
Unaweza kujifunza na kuendesha biashara hii kama chanzo chako kingine cha kipato  (Side Business) kulingana na muda wako na kwa kuzingatia sheria, sera na masharti yanayokuhusu katika ajira yako yako ya sasa.
 
Hatutaki uache kazi yako ya sasa na usiache kazi.
Hiyo ndiyo sababu tunatumia Online Training na Online Mentorship.
Unaweza kujifunza muda unaokufaa.
Muda mdogo haumanishi huna nafasi.
Unahitaji kujifunza kutumia muda ulio nao vizuri.
Hujapoteza training.
Sessions zina-recordiwa na kutumwa kwenye WhatsApp Group la team.
Usijilaumu haraka.
Jiulize “Je, nilikuwa nimefundishwa kutumia njia za kisasa?”
Hatutoi guarantee ya mafanikio.
Lakini tunakupa nafasi ya kujifunza skills na mfumo tofauti wa kufanya marketing.
Ni hatua yako ya kuanza katika mfumo wa training/team.
Baada ya kuanza, utapokea maelekezo kuhusu access, training na hatua zinazofuata kulingana na utaratibu wa team.
Kwa sababu team members wanapata special access/pricing kwenye digital skills training zinazotolewa ndani ya mfumo wa team.
Bei ya Tsh 1.5M inawakilisha gharama ya training hizo tofauti kwa mtu asiye kwenye team, wakati team members wanapata package kwa bei maalum.
kwa mujibu wa masharti yetu.
Utatwambia na ndani ya siku saba tunakurudishia pesa yako bila maswali

Je, wewe ni mtu tunayemtafuta ?

Hatufuti mtu anayesema “Nataka pesa leo.”
Tunatafuta mtu anayesema “Nataka kujifunza.”
Mtu ambaye:
  • Ana kazi au shughuli nyingine
  • Anataka kipato cha ziada
  • Yuko tayari kujifunza
  • Ana smartphone au computer
  • Anaweza kujifunza online
  • Yuko tayari kutumia muda wake vizuri
  • Anataka kutumia technology
  • Yuko tayari kufuata mentorship
  • Anaelewa biashara inahitaji effort
  • Yuko tayari kujenga kwa muda
Kama huyu ni wewe…
Tunakaribisha sana (Your welcome).

Unataka kujiunga na team yetu?

Kabla ya kuwa team member, tunataka tujue wewe ni nani na kama uko tayari kujifunza na kujenga.
Hatutafuti mtu anayetaka pesa rahisi.
Tunatafuta mtu aliye tayari :
  • Kujifunza
  • Kufanya kazi.
  • Kutumia technology.
  • Kufuata mentorship.
  • Kujenga skills.
  • Kuwa consistent.
Kama unaona wewe ni mtu wa aina hii:
Jaza form ya kuomba kujiunga na team.
Baada ya kutuma form yako, utapokea maelekezo ya hatua inayofuata.

Usiache kazi yako. Usiache ndoto zako.

Kazi yako ni muhimu.
Mshahara wako ni muhimu.
Lakini kama unatamani kuwa na chanzo kingine cha kipato…
Anza na kujenga uwezo wako.
Jifunze ujuzi
Jifunze kutumia technology kwa usahii.
Pata mtu wa kukuongoza (Mentorship).
Endesha biashara kwa mfumo.
Usijenge kwa presha.
Jenga kwa ujuzi.

Mshahara wako unaweza kuwa mwanzo. Sio lazima uwe mwisho.

Usisubiri mpaka maisha yakulazimishe kutafuta njia nyingine.
  • Anza kwa kujifunza.
  • Anza kwa kujenga skill.
  • Anza kwa kuelewa technology.
  • Anza kwa kujenga mfumo.
  • Anza kwa hatua ndogo.

Karibu kwenye network marketing ya karne ya 21.

Iliyo jegwa kwenye misingi ya UJUZI, TECHNOLOGY, MFUMO, MENTORSHIP na TEAM SUPPORT.
Kauli mbiu yetu ni Hustle Smart.
Anza safari leo.
Picture of Joctan Motoka

Joctan Motoka

Digital Marketing Expert I Creative Graphics Designer
Author I Trainer I Network Marketer
Online Entrepreneur

Ninasaidia watu na biashara kutumia ujuzi na teknolojia kufikia wateja wengi zaidi, kuongeza mauzo na kuendesha biashara kwa mfumo bora zaidi.

Bofya Butoni hapo chini kuwasiliana Nasi

Karibu Tuzungumze Kuhusu, Biashara

Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kuendesha Biashara yako ya Network Marketing Bure

Si kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi.

Some of My Story

Subscribe uzidi kupata Taarifa zetu zaidi kwa kujaza fomu hapa chini

    Scroll to Top