Ukiwa busy, nani anawahudumia wateja wako?

  1. Mteja mpya ameuliza swali WhatsApp anataka jibu.
  2. Mwingine amewasilisha mawasiliano yake kupitia fomu anataka autumiwe product catalog.
  3. Mwingine amecomment “eBOOK” kwenye Instagram anataka kutumiwa ebook.
  4. Na mwingine ameuliza bei lakini bado hajafanya uamuzi.
Wakati huo huo…
Wewe unaendelea na kazi nyingine.
  • Unaendesha biashara nyingina.
  • Au unafanya matangazo.
  • Unahesabu bidhaa.
  • Unajibu simu yas mteja mwingine.
  • Unatafuta wateja wapya.
Na ghafla unatambua.
Wateja wako wameongezeka, lakini muda wako haujaongezeka.

Tatizo si kwamba hufanyi kazi kwa bidii. Tatizo ni kwamba unalazimika kurudia kazi zilezile kila siku.

  1. Kumkaribisha mteja mpya.
  2. Kujibu swali lilelile.
  3. Kutuma taarifa ya bidhaa mpya.
  4. Kumkumbusha mtu aliyesema atarudi.
  5. Kufuatilia mtu aliyeonyesha nia ya kununua.
  6. Kukusanya taarifa za wateja.
  7. Kuamisha taraifa zao toka kwenye simu na kuziweka kwenye excel sheet.
  8. Kutuma link kwa watega.
Na wakati mwingine, Kuna baadhi ya wateja unawasahau kabisa.
Sio kwa sababu humjali.
Ni kwa sababu wewe ni binadamu.
Na binadamu ana kikomo cha muda, umakini na nguvu.

Mteja hajui kwamba ulikuwa busy

Kwa upande wako unaweza kusema “Nilikuwa kwenye shughuli, ndio maana sikumjibu.”
Lakini kwa upande wa mteja anaweza kufikiria “Labda hawako serious na mimi.”
Na wakati wewe bado unatafuta muda wa kujibu, mshindani wako anaweza kuwa ameshajibu maswali yote aliyonayo mteja wako.
  • Mteja wa leo anataka majibu kwa wakati.
  • Anataka urahisi.
  • Anataka mchakato usio na usumbufu.
Na pale unapochelewa sana, anaweza kuendelea na biashara nyingine.

Sio kila kazi inahitaji mikono yako

Fikiria kama baadhi ya kazi hizi zingeweza kuendelea hata ukiwa unafanya jambo lingine.
  1. Mteja anajaza fomu.
  2. Taarifa zake zinaingia kwenye Google Sheets.
  3. Mfumo unatambua kuwa ni mteja mpya.
  4. Anapokea ujumbe wa kumkaribisha (Welcome Message).
  5. Baada ya muda uliyo panga wewe, anapokea ujumbe mwingine wa kumfuatilia (Follow-up Message).
  6. Kama bado hajafanya uamuzi, anapokea taarifa nyingine inayosaidia kuondoa mashaka.
  7. Na wewe unaendelea na biashara yako.
Huu ndio uwezo wa automation.

Automation sio kumweka roboti mbele ya mteja wako

Ni kujenga mfumo unaosaidia kazi zinazojirudia kufanyika kwa mpangilio.
  • Lengo sio kutuma ujumbe mwingi.
  • Lengo sio kumsumbua mteja.
  • Lengo sio kumlazimisha anunue.
Lengo ni kumsaidia mteja kwa wakati unapo hitaji huduma yako, au musaada wako.
 
  1. Mteja akiuliza, mfumo unamsaidia kupata hatua inayofuata.
  2. Mteja akiacha taarifa, mfumo unasaidia kuhakikisha taarifa hiyo haipotei.
  3. Mteja akionyesha nia ya kununua, mfumo unasaidia kuhakikisha mawasiliano hayaishii hapo.
Hapo automation inageuka kuwa mfumo wa uzoefu wa mteja (customer experience).

Comment neno “eBook” nikutumie ebook ya bure

Haya ni moja ya maneno amabayo wafanya biashara wengi na wajasiliamali wengi uyatumia wanapo post mahudhui yao Instagram au Facebook:
Dakika chache baadaye:
eBook, eBook, eBook, eBook, eBook
Swali ni hili utafanya nini, ukikutana na utitili wa comments za ebook na kila mtu anataka kutumiwa ebook?
Utafungua kila maoni na kuanza kumtumia kila mmoja ebook?
Sio lazima.
Unaweza kujenga mfumo ambao unatambua neno maalumu (Keyword Trigger) na kuanzisha hatua inayofuata ya mawasiliano.
Mtu anaweza kupewa:
  • eBook
  • Kiungo / Link ya tovuti (Website Link)
  • Fomu (Form)
  • Ofa (Offer)
  • Ujumbe wa moja kwa moja (Direct Message)
au hatua nyingine uliyoandaa.
Hivi ndivyo unavyoweza kupunguza kazi zinazojirudia kwenye biashara yako

Jinsi automation inavyo saidia katika hatua mbalimbali za safari ya mteja (customer journey)

Automation inaweza kuingia katika hatua tofauti za safari ya mteja (Customer Journey).
  1. Mteja mpya? Kupitia automation unamkariubisha.
  2. Ameacha taarifa zake za mawasiliano? Kupitia automation Zinahifadhi na zipangwa kwa namuna iliyo bora.
  3. Ameonyesha nia ya kununua? Kupitia automation Unamfuatilia.
  4. Bado ana mashaka? Kupitia automation unampa taarifa inayomsaidia kushinda mashaka.
  5. Umezindua bidhaa mpya? Kupitia automation unamtumia taarifa kwa wakati.
  6. Ameomba kitu? unampeleke moja kwa moja kwenye hatua inayofuata.
Badala ya kukumbuka kila kitu, unajenga mfumo unaokumbuka kwa ajili yako.

Follow-up nzuri haijengi shinikizo. Inajenga ufahamu.

Mteja anaweza kuwa hajakataa.
Anaweza kuwa bado
  • Ana mashaka.
  • Hajapata taarifa zote.
  • Anasubiri muda sahihi.
Ndiyo maana kumfuatilia kwa ujumbe mmoja wa “Lipia sasa?”
sio mfumo mzuri.
Katika kozi hii utajifunza namna ya kuunda Follow-up Sequence yenye ujumbe uliopangwa kwa hatua.
Ujumbe unaosaidia
  1. Kujenga
  2. Uaminifu.
  3. Kuondoamashaka
  4. Kujibu maswali.
  5. Kumkaribisha mteja kufanya uamuzi akiwa tayari.
Follow-up nzuri sio kumfukuza mteja. Ni kumsaidia asipotee njiani.

Sasa jifunze jinsi ya kujenga mfumo huu kwenye biashara yako

Jenga Mfumo Unaopokea, Kujibu na Kufuatilia Wateja Kwa Mpangilio.
Hii ni kozi ya vitendo kwa wajasiriamali wanaotumia mtandao kupata na kuhudumia wateja.
Utajifunza kutumia Automation kupunguza kazi za mikono, kuokoa muda, kuboresha mawasiliano na kujenga biashara yenye mfumo unaoweza kukua pamoja nawe.

Baada ya kozi hii, hutakuwa tu umejifunza automation... Utakuwa umejifunza namna ya kuitumia kurahisisha kazi mbalimbali kwenye biashara yako.

Na haya ndiyo utakayojifunza:
1. Kutoka kwenye form hadi kwenye google sheets kiotomatiki
Utajifunza jinsi ya kutengeneza mfumo ambapo mteja anajaza taarifa kupitia fomu (Contact Form) kwenye tovuti yako.
Baada ya kujaza:
  1. Jina Lake linaingia kwenye Google Sheets.
  2. Namba yake ya simu inaingia.
  3. Barua pepe yake inaweza kuhifadhiwa.
  4. Taarifa nyingine unazohitaji zinaweza kupangwa sehemu moja.
 
Utafaidika nini?
  • Hutahitaji kuhamisha taarifa kwa mkono.
  • Hutahitaji kutafuta taarifa kwenye sehemu tofauti.
  • Hutakuwa na taarifa za wateja zilizotawanyika.
Unajenga mfumo wa taarifa za wateja (customer data system) uliopangwa.
Katika kozi hii, Google Sheets haitakuwa sehemu ya kuhifadhi majina tu.
Utajifunza jinsi taarifa mpya inaweza kuanzisha mchakato mwingine (Automation Trigger).
Mfano:
Mteja anajaza fomu.
  1. Taarifa zinaingia Google Sheets.
  2. Mfumo unatambua taarifa mpya.
  3. Automation inaanza.
  4. Mteja anapokea ujumbe uliopangwa.
  5. Follow-up inayofuata inakuja baada ya muda ulioweka.
 
Faida?
Mfumo wako unaanza kufanya kazi kulingana na kitendo cha mteja.
Huhitaji kukaa kila saa ukiangalia:
“Mteja mpya amejaza fomu?”
Mteja akiacha taarifa zake, anaweza kupokea ujumbe wa kumkaribisha (Welcome Message).
Ujumbe huo unaweza:
  1.  
  2. Kumjulisha hatua inayofuata.
  3. Kumpa kiungo.
  4. Kumpeleka kwenye bidhaa.
  5. Kumwelekeza kwenye WhatsApp.
  6. Kumpa taarifa muhimu.
 
Faida kubwa?
  • Mteja hahisi ameachwa gizani baada ya kujaza taarifa.
  • Anaona biashara yako ina mfumo.
  • Anaona umejipanga.
  • Anaelewa hatua inayofuata.
Utajifunza namna ya kuweka ujumbe wa kufuatilia (Follow-up Sequence) kwa muda uliopangwa.
  • Sio kutuma kila baada ya dakika chache.
  • Sio kumchosha mteja.
 
Lakini kujenga mtiririko wenye mantiki.
Mfano
  1. Siku ya kwanza:
  2. Baada ya muda: Kutoa maelezo zaidi.
  3. Hatua inayofuata: Kujibu mashaka yanayojitokeza mara kwa mara.
  4. Hatua nyingine: Kumkumbusha thamani ya bidhaa au huduma.
 
Faida?
Huwezi tena kutegemea kumbukumbu yako pekee.
Mfumo unasaidia kuhakikisha mteja aliyekuwa na nia hafutiki kwenye rada yako.
Utajifunza namna ya kuandaa ujumbe wa WhatsApp (WhatsApp Message Templates) kwa matumizi mbalimbali ya biashara.
Mfano:
  1. Welcome Messages
  2. Follow-up Messages
  3. Product Update Messages
  4. Reminder Messages
  5. Customer Support Messages
  6. Offer Messages
 
Faida yako?
Hutaanza kuandika ujumbe kutoka sifuri kila mara.
Utakuwa na mfumo wa ujumbe uliopangwa kwa mazingira tofauti ya biashara.
Katika kozi hii pia utajifunza hatua muhimu kuhusu WhatsApp API.
Tutakufundisha kuelewa:
  • WhatsApp API ni nini.
  • Inatumika vipi kwenye biashara.
  • Jinsi ya kuanza kuandaa mazingira yake.
  • Jinsi ya kuunganisha na mifumo ya Automation.
  • Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa usanidi (Setup).
  • Jinsi ya kuitumia kukuza biashara yako
Faida?
Utaanza kuelewa namna WhatsApp inaweza kutoka kwenye matumizi ya kawaida na kuwa sehemu ya mfumo mkubwa wa mawasiliano ya biashara.
Tutakupitisha kwenye mambo muhimu ya kuzingatia ili biashara yako iwe tayari kwa mchakato wa matumizi ya WhatsApp API kupitia Meta.
Utajifunza kuhusu:
  • Taarifa za biashara.
  • Utambulisho wa biashara.
  • Mipangilio muhimu.
  • Masharti ya kuzingatia.
  • Maandalizi ya ujumbe.
Faida?
Badala ya kwenda kwa kubahatisha, utakuwa na picha iliyo wazi ya hatua unazopaswa kufuata.
Hii ni sehemu yenye nguvu kwa biashara zinazotumia maudhui kupata wateja.
Utajifunza mfumo kama huu:
Post yako inasema
  1. “Comment neno GUIDE kwenye comment hapo chini nikutumie mwongozo.”
  2. Mteja anaandika GUIDE
  3. Mfumo unatambua neno hilo (Keyword).
  4. Na mchakato unaanza.
  5. Anaweza kupokea Kiungo /Link au Kuongozwa katika hatua nyingine inayofuata.
Faida?
Unaweza kuongeza mwingiliano (Engagement) bila kujibu maoni ya mmoja mmoja.
Na muhimu zaidi, unageuza maoni kuwa mwanzo wa safari ya mteja.
Ukipata bidhaa mpya, hutahitaji kila mara kuanza kufikiria
“Nitawafikiaje wateja wangu?”
Utajifunza namna ya kupanga taarifa za bidhaa mpya (Product Update Automation).
Unaweza kuandaa mfumo wa:
  1. Kutangaza bidhaa mpya.
  2. Kutoa taarifa kwa kundi husika.
  3. Kuelekeza watu kwenye bidhaa.
  4. Kufuata wale walioonyesha nia.
Faida?
Unaboresha kasi ya biashara yako kuwasiliana na wateja bila kuongeza mzigo wa kazi kwa kiwango kilekile.
Hii ndiyo sehemu muhimu zaidi.
 
Baada ya kozi, hatutaki uone:
  • Fomu
  • Whatsapp
  • Google Sheets.
  • Instagram
kama vitu vinavyoishi peke yake.
Tunataka uanze kuona picha kubwa:
 
Mteja → Taarifa → Mfumo → Ujumbe → Follow-Up → Hatua Inayofuata
 
Hapo ndipo ujuzi wako unaanza kuwa wa thamani.
Kwa sababu hujifunzi tu kutumia kifaa.
Unajifunza kubuni mfumo wa biashara (Business automation system).

Nini tumekuandalia ukijunga na mafunzo Haya

01. Tumekuandalia mfululizo wa video utakao kuongoza hatua kwa hatua.
Utapata mfululizo wa video (Video Training Series) uliopangwa hatua kwa hatua.
Lengo ni wewe ujifunze kwa namuna ambayo utaelewa na kuutumia ujuzi utakao fundishwa kuendesha biashara yako.
Tumekuandalia eBook Guide inayosaidia kuunganisha kile unachotazama kwenye video na hatua unazofanya.
Unaweza kuitumia
  • Wakati wa kujifunza.
  • Wakati wa kufanya setup.
  • Ukisahau hatua.
  • Unapojenga automation nyingine baadaye.
Ebook hii ni mwongozo wa kurejea unapokuwa unafanya kazi.
Hutajifunza peke yako.
Utajiunga na wanafunzi wengine kwa
  •  
  •  
  • Kushiriki changamoto wakati w akujifunza.
  • Kuelewa makosa yanayotokea na jinsi ya kuyatatua.
  • Kupata mawazo mapya ya matumizi ya Automation.
Tatizo ambalo lingekufanya ukae siku mbili ukitafuta jibu, ndani ya group hili  linaweza kujadiliwa na kueleweka kwa haraka zaidi.
Kujifunza teknolojia mara nyingine unaweza kukutana na sehemu ukasema
“Hapa nimekwama.”
Ndiyo maana kuna Mentorship.
Lengo ni kukusaidia kuelewa.
Sio kukupa video na kukuacha.
Hutafundishwa kuangalia. Utafundishwa kufanya.

Kile utakachopata ukinunua kozi hii

Lakini thamani kubwa zaidi sio hizi features...

Ni kile utakachoweza kufanya baada ya kujifunza.

Baada ya kuelewa kozi hii, utaanza kuwa na uwezo wa:
  1. Kupunguza kazi za kurudia kila siku.
  2. Kuokoa muda kwenye shughuli ndogo ndogo.
  3. Kupanga taarifa za wateja vizuri.
  4. Kuboresha kasi ya kuwajibu wateja wako, kipindi wanapo hitaji msaada wako.
  5. Kufuatilia wateja kwa mpangilio.
  6. Kupunguza nafasi ya kuwasahau baadhi ya wateja.
  7. Kujenga uzoefu mzuri wa mteja (Customer Experience).
  8. Kuifanya biashara yako ionekane imepangwa zaidi.
  9. Kuunganisha hatua mbalimbali za biashara yako.
  10. Kujenga mfumo unaoweza kukua kadiri biashara yako inavyokua.
Huu ndio ujuzi unaobadilisha biashara kutoka “nafanya kila kitu” hadi “nina mfumo.”

Thamani ya kozi ni Tsh 450,000/=

Lakini wewe hautalipia kiasi hicho chote Tsh450,000/=
 
Maana nia yangu ni kuwasaidia watanzania wengi kama wewe na ninatambua uwezo wa kiuchumi vijana wengi,
 
Wanaweza kuwa na nia njema ya kujifunza ujuzi lakini ada ikawa kikwazo
kwao hivyo nakupa punguzo katika kozi hii utalipia kiasi cha TSH 169,000/= Tu
 
Lakini uwenda kiasi hicho cha fedha hauna kwa sasa, lakini unatamani kuanza kujifunza,
 
Basi tunaheshimu sana nia yako njema ya kupata ujuzi na maarfa yatakayo badilisha biashara yako na biashara za wengine.
 
Hivyo utalipia kiasi cha Tsh 12,500/= Tu
Ili kuanza kujifunza.
Kiasi kingine kilichobaki utalipia wakati ukiendelea na mafunzo.
 
Sambamba na hilo kama utaona
  • Mafunzo haya hayakusaidii chochote,
  • Hakuna kitu unaelewa,
  • Ukigundua umefanya uamuzi usiyo sahihi kwako
Basi tuambie na sisi ndani ya siku saba tutakurudishia pesa yako yote bila hata kukuuliza maswali.
Hutakiwi kuanza kwa hofu. Unatakiwa kuanza kwa nafasi ya kujithibitishia thamani.

Usisubiri biashara ikue ndipo uanze kujenga mfumo

  • Wateja 10 unaweza kuwafuatilia mwenyewe.
  • Wateja 100 inaanza kuwa ngumu.
  • Wateja 500? Inakuwa ngumu zaidi
Kumbukumbu yako haitoshi.
Muda wako hautoshi.
Na hapo ndipo kazi ndogo ndogo zinaanza kuwa mlima.
Jenga mfumo kabla kazi hazijakuzidia.

Biashara ya karne hii haihitaji juhudi peke yake

Inahitaji
  1. Kasi
  2. Mpangilio
  3. Mawasiliano
  4. Teknolojia
  5. Automation
Na muhimu zaidi
Mfumo unaoweza kukusaidia kufanya zaidi bila kulazimika kufanya kila kitu mwenyewe.

Kama bado hujaamua? Anza kwa mwongozo wa bure

Nimekuandalia eBook “UKIWA BUSY, NANI ANAISIMAMIA BIASHARA YAKO?”
Mwongozo wa Kuelewa Jinsi Automation Inavyoweza Kupunguza Kazi Zinazojirudia na Kuboresha Mawasiliano na Wateja.
Ndani yake utaelewa
  • Automation ni nini.
  • Ni kazi gani unaweza kuanza ku-automate.
  • Kwa nini speed ya response ni muhimu.
  • Ni wapi unaweza kuwa unapoteza wateja bila kujua.
  • Namna ya kuanza kufikiria biashara yako kama mfumo.

Mwisho wa siku,

swali si “je, nitumie automation kwenye biashara yangu hapana?”
Swali ni : ‘Ni kazi gani unayoirudia kila siku ambayo mfumo ungeweza kukusaidia kuifanya ?’
 
Kama unajikuta
  1. Unajibu ujumbe uleule.
  2. Unatuma link ileile.
  3. Unamkaribisha kila mtu mmoja mmoja.
  4. Unafanya Follow-up kwa wateja unao wakumbuka na wengine wanasahaulika.
  5. Upangilia taarifa za wateja wako kwa mkono.
  6. Unatafuta kila mteja mmoja mmoja…
Hapo ndipo unapohitaji kuanza kujenga mfumo.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ)

1. Kozi hii inafundisha nini hasa?
Inakufundisha jinsi ya kutumia Automation kurahisisha kazi zinazojirudia kwenye biashara, kama Welcome Messages, Follow-up, Product Updates, Contact Forms, Google Sheets, WhatsApp na mitandao ya kijamii.
Ndiyo. Mafunzo yamepangwa hatua kwa hatua, hivyo unaweza kuanza hata kama hujawahi kutumia Automation.
Ndiyo. Unajifunza mtandaoni na unaweza kusoma wakati wowote unaokufaa.
Utapata Video Training, eBook Guide, Mentorship, WhatsApp Student Group, Question & Discussion Support pamoja na mafunzo ya vitendo ya kujenga Automation.
Ndiyo. Utajifunza WhatsApp Message Templates, WhatsApp API Setup na mambo muhimu ya kuzingatia kwa matumizi ya WhatsApp API kwenye biashara.
Ndiyo. Utafundishwa jinsi taarifa za mteja kutoka kwenye Contact Form zinavyoweza kwenda moja kwa moja kwenye Google Sheets na kuanzisha hatua nyingine za Automation.
Ndiyo. Utajifunza jinsi ya kupanga Follow-up Sequence kwa muda unaofaa bila kumchosha au kumsukuma mteja.
Hapana. Automation inasaidia kazi zinazoweza kuwekwa kwenye mfumo, lakini bado unahitaji kusimamia biashara, bidhaa, wateja na maamuzi muhimu.
Hapana. Kozi inakufundisha kujenga mifumo inayosaidia mawasiliano, Follow-up, kasi ya huduma na kupunguza kazi za kurudia. Mauzo hutegemea pia bidhaa, soko, ofa na namna unavyoendesha biashara.
Unaweza kujifunza kwa simu, lakini kompyuta inapendekezwa kwa baadhi ya hatua za kutengeneza na kusanidi Automation.
Ndiyo. Utapata Mentorship na kikundi cha WhatsApp kwa maswali na majadiliano wakati wa kozi.
Thamani kamili ya kozi ni Tsh 150,000/=, lakini unaweza kuanza kwa Tsh 12,500/= tu.
Hapana. Unaweza kuanza kwa Tsh 12,500/=, kisha ukiona thamani ya kozi na kuendelea na mafunzo, utakamilisha malipo yaliyobaki.
Ndiyo. Unaweza kuomba Refund ndani ya siku 7, kwa mujibu wa masharti ya refund ya kozi.
Unaweza kuomba Refund ndani ya siku 7. Ombi litashughulikiwa kulingana na masharti ya dhamana ya kozi.
Ndiyo. Lengo kuu ni kukusaidia kuelewa na kutumia Automation kulingana na mahitaji ya biashara yako.
Hapana. Inafaa kwa wajasiriamali wadogo, wa kati na wanaokua wanaotumia WhatsApp, Instagram, Facebook au tovuti kupata na kuhudumia wateja.
Mara baada ya kujiunga. Mafunzo ni ya mtandaoni, hivyo unaweza kuanza kujifunza kwa muda unaokufaa.

Bado una swali?

Kama swali lako halipo hapa, unaweza kuwasiliana nasi kabla ya kujiunga.
Lakini kama tayari umeona unachotafuta…
Usiishie kusoma, Anza kujenga mfumo.
Anza kozi kwa Tsh 12,500/=

Jifunze jinsi ya kutumia ujuzi wa kidigitali kuendesha Biashara yako ya Network Marketing Bure

Si kwamba Biashara ya Network Marketing haifanyi kazi au ni Ngumu.
Bali ni mfumo au njia unazotumia kuendesha Biashara, ndizo hazikupi matokeao.
Maana zimepitwa na wakati/ hazifanyi kazi.

Subscribe uzidi kupata Taarifa zetu zaidi kwa kujaza fomu hapa chini

    Scroll to Top